Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
ni nchi ya kikristo, it is the only country in africa declared as a christian country.Hii nchi ya Zambia sijawahi kusikia kuna waasi, matukio ya kigaidi wala vurugu za kisiasa. Hata chama tawala kiliachia madaraka wapinzani kwa amani kabisa. Je hii ndiyo nchi salama zaidi Afrika?
View attachment 2858296
Hili nalo neno...!🤔Hakuna waislam wengi ndo maana
ukigoogle Glogal Peace Index inaonesha mauritius ndio salama zaidi africa, zambia is ranked no.9 in afrika!Hii nchi ya Zambia sijawahi kusikia kuna waasi, matukio ya kigaidi wala vurugu za kisiasa. Hata chama tawala kiliachia madaraka wapinzani kwa amani kabisa. Je hii ndiyo nchi salama zaidi Afrika?
View attachment 2858296