Zambia: Rais Hichilema aagiza magari ya kifahari yauzwe ili kulinda uchumi wa nchi

Zambia: Rais Hichilema aagiza magari ya kifahari yauzwe ili kulinda uchumi wa nchi

Kwanza wananchi hivyo sio vipaumbele vyao.
Wao wako buzzy kupinga ushoga na usagaji.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo nalo ni tatizo badala ya kujadili mambo ya msingi.

Wanadili na petty issues. Mambo ya chumbani kwa watu.

Nchi ya ajabu sana hii.

Hapa Kuna mambo mengi ya msingi yameshapoa na upepo.
 
Ndio upeo wa vijana wa CCM ulipoishia hapa, this tells more kuhusu wewe! Pumbavu sana na chama chenu cha Mashoga
Wenzako wameolewa Ulaya hadi hawataki kurudi umebakia wewe

USSR
 
Wenzako wameolewa Ulaya hadi hawataki kurudi umebakia wewe

USSR
Ona huyu mbwa, mmeshindwa hoja mnakuja na matusi! Katiba mpya, Mbowe yuko huru, Lissu karudi, na mengine ambayo CHADEMA wameyaweza, ndio yanawapa msongo wa mawazo mmebakia matusi!

Anyway, siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa
 
Hilo nalo ni tatizo badala ya kujadili mambo ya msingi.

Wanadili na petty issues. Mambo ya chumbani kwa watu.

Nchi ya ajabu sana hii.

Hapa Kuna mambo mengi ya msingi yameshapoa na upepo.
Na serikali inawajua wananchi wake, basi inapita mule mule.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya ni maamuzi ya kujenga popularity tu. Used car utapata Tsh ngapi ukiuza? Na hizo fedha je zitaweza kuikwamua Zambia kiuchumi?

Ningemuelewa kama angesema tu hatuendelei kuagiza tena magari ya anasa kwa ajili ya Serikali
Gari moja mil 300 mara magari 40 hayo magari ukiuza mil 150 mara magara 40 hujajenga zahanati ambayo itadumu vizazi na vizazi?
 
Rais Hichelema ameagiza magari yote ya kifahari nchi humo yauzwe ili kulinda uchumi na kuwataka viongozi waishi maisha ya kawaida kama binadamu wengine huku wakikabiliana na hali ngumu ya uchumi.

Hawa ndio wako serious kuendana na hali ya uchumi wa dunia wameamua na kutenda, magari haya ni shidaa kwa ulaji mafuta, matengenezo na gharama kubwa sana kuyanunua pia hayadumu kivile.

Tanzania tulijaribu tukashindwa, Kenya ilijaribu ikashindwa, Uganda walishindwa wote walioshindwa haikufukia hatua ya rais mwenyewe kutamka sasa huyu katamka.

USSR

-----

Zambian President Hakainde Hichilema on Thursday directed the head of the public service to ensure that all luxury vehicles bought after the formation of the new government are sold.

The Zambian president said he was shocked that some senior government officials, including ministers and permanent secretaries, were applying to buy luxurious vehicles such as Land Cruiser VX when there was an agreement that there will be no buying of luxurious vehicles.

"We agreed that extravagance is not part of us. Anyone who has bought a VX in central, local, quasi-government institutions, I would like an instruction that must be followed: to bring out those VXs and sell them into the market," he said when he opened a Presidential Delivery Unit leadership workshop.

He said instead of buying luxurious vehicles, the money should be plowed into productive areas that would create jobs for the people.

He challenged government officials to improve their performance instead of dwelling on the reckless expenditure of public resources, adding that people elected the current government because they wanted improved service delivery.

People, he said, voted for the current government because they wanted to see improved living standards, adding that the trust of the people should be returned with effective and quality service delivery.

According to him, some ministers and permanent secretaries were perpetually traveling, yet their performance was below par, and they should feel a sense of shame.

He challenged them to improve their output, adding that he was tired of swearing in new people every month due to the inefficiency of some people whom he was forced to fire.

He further expressed concern that some officials were working in isolation and called for collaboration in the public service in order to improve service delivery.

Secretary to the Cabinet Patrick Kangwa called on all public workers to ensure hard work and realize that they have a duty to deliver to the expectations of Zambians.

The Zambian president recently announced the setting up of the Presidential Delivery Unit aimed at accelerating the implementation of government programs and projects.

Source: Zambian president orders sale of luxury vehicles bought for gov't officials - New Vision Official
Analalamika ,wenzie wanataka vieteli yeye analalamika 😁😁
 
Huku kwetu TAMISEMI imetenga bilioni 100 kununua gari za wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya.

At the same time Kuna shule ziko chini ga Tamisemi hawana walimu, hawana vitabu vya kutosha , wanasomea chini ya mti.

Vijiji having zahanati. Zahanati hazina dawa. Dawa zine exprire.

Barabara mbovu. Hakuna pesa ya za kuzijenga, zinazojengwa Kila Senti imepigwa 10%.

Tumerogwa sana

Laiti!! Nasema laiti kile Senti Ingetumika kwa mahitaji ya msingi tu walah tena bongo ingekuwa ingekuwa kama CALIFORNIA lakini tutabaki kuwa bongo kama bongo sababu hapa hatuna akili kabisa na tumechagua wale tuliowapita akili watuongoze.

Tumerogwa kwakweli

Kweli kabisa wenye akili mara nyingi hawaingii kwenye siasa matokeo yake wajinga wanaoingia kwenye siasa ndio wanakuja kuwatawala wenye akili!! Nchi inayooongozwa na wajinga haiwezi kuendelea!
 
Hapo kwenye kuyauza napo tutegemee upigaji tu.
 
Hebu imagine Sokwe la hapa Bongo liache kula kiyoyozi ati kwasababu ya kubana matumizi?

Haitakuja kutokea kwenye huu msitu wa ndezi.
 
Back
Top Bottom