smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
huna akili.Huku Chadema wanataka Mbowe aishi maisha kifahari lakini chama hakina ofisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huna akili.Huku Chadema wanataka Mbowe aishi maisha kifahari lakini chama hakina ofisi
Kuongoza makampuni sio sawa na kuongoza nchi. Ni vitu viwili tofauti kabisa. HH anaagiza magari yaliyonunuliwa kwenye utawala wake yauzwe lakini je, haoni kwamba ni fursa nyingine wajanja kujiuzia magari kihuni? Pia utajiri wake umetokana na ubinafsishaji wa mashirika ya umma.. yeye alikuwa mmojawapo ya walionufaika na ubinafsishaji. Kwahiyo wenye akili wanaona jamaa ana pepo la kupenda kuuza mali za serikaliHuyo ni mfanyabiashara ,bilionea ndani ya mabilionea 10 wajuu nchini Zambia ,sio mchumi au mfanyabiashara aliyelelewa viunga vya ikulu ,kama akina Mwezi wa kwanza ...... ,Ngoja twendelee kuona mipango yake
imeisha ,sio mjinga atangaze hicho kitu harafu ,yauzwe kama mnavouza ninyi bongo hapa , nimoja ya rais katuonesha kitu ...Kuongoza makampuni sio sawa na kuongoza nchi. Ni vitu viwili tofauti kabisa. HH anaagiza magari yaliyonunuliwa kwenye utawala wake yauzwe lakini je, haoni kwamba ni fursa nyingine wajanja kujiuzia magari kihuni? Pia utajiri wake umetokana na ubinafsishaji wa mashirika ya umma.. yeye alikuwa mmojawapo ya walionufaika na ubinafsishaji. Kwahiyo wenye akili wanaona jamaa ana pepo la kupenda kuuza mali za serikali
... kuna yule mpumbavu huko chamani kalibamiza akiwa na kahaba hadi akamuua! Duh!Rais Hichelema ameagiza magari yote ya kifahari nchi humo yauzwe ili kulinda uchumi na kuwataka viongozi waishi maisha ya kawaida kama binadamu wengine huku wakikabiliana na hali ngumu ya uchumi.
Hawa ndio wako serious kuendana na hali ya uchumi wa dunia wameamua na kutenda, magari haya ni shidaa kwa ulaji mafuta, matengenezo na gharama kubwa sana kuyanunua pia hayadumu kivile.
Tanzania tulijaribu tukashindwa, Kenya ilijaribu ikashindwa, Uganda walishindwa wote walioshindwa haikufukia hatua ya rais mwenyewe kutamka sasa huyu katamka.
USSR
-----
Zambian President Hakainde Hichilema on Thursday directed the head of the public service to ensure that all luxury vehicles bought after the formation of the new government are sold.
The Zambian president said he was shocked that some senior government officials, including ministers and permanent secretaries, were applying to buy luxurious vehicles such as Land Cruiser VX when there was an agreement that there will be no buying of luxurious vehicles.
"We agreed that extravagance is not part of us. Anyone who has bought a VX in central, local, quasi-government institutions, I would like an instruction that must be followed: to bring out those VXs and sell them into the market," he said when he opened a Presidential Delivery Unit leadership workshop.
He said instead of buying luxurious vehicles, the money should be plowed into productive areas that would create jobs for the people.
He challenged government officials to improve their performance instead of dwelling on the reckless expenditure of public resources, adding that people elected the current government because they wanted improved service delivery.
People, he said, voted for the current government because they wanted to see improved living standards, adding that the trust of the people should be returned with effective and quality service delivery.
According to him, some ministers and permanent secretaries were perpetually traveling, yet their performance was below par, and they should feel a sense of shame.
He challenged them to improve their output, adding that he was tired of swearing in new people every month due to the inefficiency of some people whom he was forced to fire.
He further expressed concern that some officials were working in isolation and called for collaboration in the public service in order to improve service delivery.
Secretary to the Cabinet Patrick Kangwa called on all public workers to ensure hard work and realize that they have a duty to deliver to the expectations of Zambians.
The Zambian president recently announced the setting up of the Presidential Delivery Unit aimed at accelerating the implementation of government programs and projects.
Source: Zambian president orders sale of luxury vehicles bought for gov't officials - New Vision Official
Harafu = halafuimeisha ,sio mjinga atangaze hicho kitu harafu ,yauzwe kama mnavouza ninyi bongo hapa , nimoja ya rais katuonesha kitu ...
Unabishana na Mtu hajawahi kumiliki akili?Mbowe ...amekuwa serikalim....Mambo mhimu unaleta upumbavu....
Hayo magari kuendelea kuyahudumia ni gharama kubwa. Unalaumu kuyauza hujui ni hatua ya kupunguza gharama za matunzo?Haya ni maamuzi ya kujenga popularity tu. Used car utapata Tsh ngapi ukiuza? Na hizo fedha je zitaweza kuikwamua Zambia kiuchumi?
Ningemuelewa kama angesema tu hatuendelei kuagiza tena magari ya anasa kwa ajili ya Serikali
Yaani wewe ni mjinga kweli. Maintance na running cost za hayo magari unaazijua?Haya ni maamuzi ya kujenga popularity tu. Used car utapata Tsh ngapi ukiuza? Na hizo fedha je zitaweza kuikwamua Zambia kiuchumi?
Ningemuelewa kama angesema tu hatuendelei kuagiza tena magari ya anasa kwa ajili ya Serikali
Ata save kiasi gani kwani? Nisomeshe mimi mjingaYaani wewe ni mjinga kweli. Maintance na running cost za hayo magari unaazijua?
Mashoga ya ccm yamejaa nyege kama amberutyHuku Chadema wanataka Mbowe aishi maisha kifahari lakini chama hakina ofisi
Umejuwaje? [emoji2] [emoji4] [emoji3]Mashoga ya ccm yamejaa nyege kama amberuty
Kuna matajiri wenye uwezo waoWatamuuzia nani?
Aisee umeona mbaliUyu angekuwa Mwenyekiti wa The Green Mamba,tayari mipango ya kumpa Polonium-210 ingekuwa inaandaliwa ili apotezwe!
HayajitambuiUmejuwaje? [emoji2] [emoji4] [emoji3]
Green mamba ni wadudu wabaya sanaAisee umeona mbali
Kwa kweli ndugu yangu.Green mamba ni wadudu wabaya sana
Ukweli ndiyo huo.Moja kwamoja ,na upinzani mwisho wasiku unakosa Cha kusema ,sio visasi
Yaani huyu Kulwa Jilala ana chuki za wazi kabisa na viongozi wote wa Chadema, Wachaga, na Mkoa wa Kilimanjaro, alianza na Lissu, Mbowe, leo Lema.Unashida gani na Mbowe ww?
Zambia siyo Tanzania.Hapo kwenye kuyauza napo tutegemee upigaji tu.