Zambia: Rais Hichilema aagiza magari ya kifahari yauzwe ili kulinda uchumi wa nchi

Huyo ni mfanyabiashara ,bilionea ndani ya mabilionea 10 wajuu nchini Zambia ,sio mchumi au mfanyabiashara aliyelelewa viunga vya ikulu ,kama akina Mwezi wa kwanza ...... ,Ngoja twendelee kuona mipango yake
Kuongoza makampuni sio sawa na kuongoza nchi. Ni vitu viwili tofauti kabisa. HH anaagiza magari yaliyonunuliwa kwenye utawala wake yauzwe lakini je, haoni kwamba ni fursa nyingine wajanja kujiuzia magari kihuni? Pia utajiri wake umetokana na ubinafsishaji wa mashirika ya umma.. yeye alikuwa mmojawapo ya walionufaika na ubinafsishaji. Kwahiyo wenye akili wanaona jamaa ana pepo la kupenda kuuza mali za serikali
 
imeisha ,sio mjinga atangaze hicho kitu harafu ,yauzwe kama mnavouza ninyi bongo hapa , nimoja ya rais katuonesha kitu ...
 
... kuna yule mpumbavu huko chamani kalibamiza akiwa na kahaba hadi akamuua! Duh!
 
Haya ni maamuzi ya kujenga popularity tu. Used car utapata Tsh ngapi ukiuza? Na hizo fedha je zitaweza kuikwamua Zambia kiuchumi?

Ningemuelewa kama angesema tu hatuendelei kuagiza tena magari ya anasa kwa ajili ya Serikali
Hayo magari kuendelea kuyahudumia ni gharama kubwa. Unalaumu kuyauza hujui ni hatua ya kupunguza gharama za matunzo?
 
Haya ni maamuzi ya kujenga popularity tu. Used car utapata Tsh ngapi ukiuza? Na hizo fedha je zitaweza kuikwamua Zambia kiuchumi?

Ningemuelewa kama angesema tu hatuendelei kuagiza tena magari ya anasa kwa ajili ya Serikali
Yaani wewe ni mjinga kweli. Maintance na running cost za hayo magari unaazijua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…