The Gentleman Pirate
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 1,450
- 921
Zambia hawana port brotherbad choice...should have shipped it through Mombasa port...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zambia hawana port brotherbad choice...should have shipped it through Mombasa port...
Tulikataa mahindi yao ya bure,sasa hivi wanatufatafata tu,hadi sokoni jombaa.Kazi yao muhimu ni kurefusha shingo tu,eti 'walalalala hizo hela zote walikuwa nazo?'.Hehe!What happened to the country that feeds us?
Wakenya wanaroho mbaya sana nafsi zinawasuta sana mkome acheni roho mbaya.
Am very disappointed by reading this comment of yours, i use to think that most of you Kenyans are intelligent unfortunately you proved me wrong. you could have got mahindiz from Tanzania for a very cheap price, underestimation yenu kwa sleeping Giants (Bongo-amkas) imepelekea kutuingizia fedha Tanzania bila hata ya kutoa mahindi. poor youWewe unajua maana ya "ZA" ndani ya TAZARA, nyie kwa umaskini wenu hamna chochote mnachomiliki 100% ndani ya nchi yenu.
Madini yote yana wenyewe hata uchafu kama makinikia, hata gesi hamjui mikataba yake imekaa vipi.
Kwa jinsi mlivyo wavivu ndio sababu mpo maskini miaka yote pamoja na kwamba liinchi lenu hilo ni muungano wa nchi mbili na mna kila kitu.
Mk254 na wewe umekua mzee wa mipasho[emoji23] [emoji23] kweli njaa mwana haramuMbona unaongea kama unabweteka baada ya kutafuna mnofu wa albino.
njaa haujawahi muacha mtu salamaMk254 na wewe umekua mzee wa mipasho[emoji23] [emoji23] kweli njaa mwana haramu
Masikini nyinyi mnaokosa hata chakula kila siku mnalua njaa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ujanja mfukoni si mna viwanda vya bublish nyinyi kuleni hizo kudadadeki tuachieni mahindi yetu wenyewe tunatengenezea popcorn haya[emoji1] [emoji1]Wewe unajua maana ya "ZA" ndani ya TAZARA, nyie kwa umaskini wenu hamna chochote mnachomiliki 100% ndani ya nchi yenu.
Madini yote yana wenyewe hata uchafu kama makinikia, hata gesi hamjui mikataba yake imekaa vipi.
Kwa jinsi mlivyo wavivu ndio sababu mpo maskini miaka yote pamoja na kwamba liinchi lenu hilo ni muungano wa nchi mbili na mna kila kitu.
Kiminyo kidogo tu jamaa zetu wanataka kufa njaa,hapo ndio inabidi watambue kati yetu nani anayemuhitaji sana mwenzieWhere do you prefer the cargo to be shipped "from" to Mombasa? The train from Zambia to Dar and ferry to Mombasa is the shortest route on the table.
Masikini nyinyi mnaokosa hata chakula kila siku mnalua njaa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ujanja mfukoni si mna viwanda vya bublish nyinyi kuleni hizo kudadadeki tuachieni mahindi yetu wenyewe tunatengenezea popcorn haya[emoji1] [emoji1]
Kungekuwa na food shortage mahindi ya kuja kenya yangetoka wapi mbona ww hujielewi tatizo la ubongo kukaa kwenye mfuko wa shati hilo
Unafikiri hawajui, basi tu wanajifanya kichwa ngumu.Kiminyo kidogo tu jamaa zetu wanataka kufa njaa,hapo ndio inabidi watambue kati yetu nani anayemuhitaji sana mwenzie
Kungekuwa na food shortage mahindi ya kuja kenya yangetoka wapi mbona ww hujielewi tatizo la ubongo kukaa kwenye mfuko wa shati hilo
Kungekuwa na food shortage mahindi ya kuja kenya yangetoka wapi mbona ww hujielewi tatizo la ubongo kukaa kwenye mfuko wa shati hilo
Unatakiwa kuwa na akili siyo zaidi ya akili ya mende kuweza kujua Tanzania hamna njaa malawi nyinyi wakenya ndio mnapita TZ kwenda kununua huko hapa TZ mahindi 100kg bag ni Tsh 60000 mtabaki na njaa zenu maandazi nyinyiMngekua hamuna njaa hamngewavizia wakulima wenu wanaotamani kuuza mahindi Kenya kwenye hela ya kweli. Waziri mkuu mwenyewe amekiri kwamba nchi yenu imekumbwa na uhaba hivyo mnalazimika kuwakamata wakulima hao. Juzi tumeona mlifuata mahindi hadi Malawi.
Naskia ni marufuku kuuza mahindi.kutoka Tanzania.
Mkubali ukweli, nchi yenyu ndio imeathirika mno na njaa kanda hili. Halafu mna serikali kali yaani...
Tanzania: Magufuli Won't Give Food, 'Even to Those Facing Hunger'
Yaani sisi au nyinyi wenye fidhi nyekundu ndio wenye njaa?Naskia ni marufuku kuuza mahindi.kutoka Tanzania.
Mkubali ukweli, nchi yenyu ndio imeathirika mno na njaa kanda hili. Halafu mna serikali kali yaani...
Tanzania: Magufuli Won't Give Food, 'Even to Those Facing Hunger'
Mnaimba hela hela, kwanini hamuiweki kwenye sufuria mkaisonga kama ugali na kula?Mngekua hamuna njaa hamngewavizia wakulima wenu wanaotamani kuuza mahindi Kenya kwenye hela ya kweli. Waziri mkuu mwenyewe amekiri kwamba nchi yenu imekumbwa na uhaba hivyo mnalazimika kuwakamata wakulima hao. Juzi tumeona mlifuata mahindi hadi Malawi.
Haha, yani hata hii coded message uneshidwa ku-decode.Naskia ni marufuku kuuza mahindi.kutoka Tanzania.
Mkubali ukweli, nchi yenyu ndio imeathirika mno na njaa kanda hili. Halafu mna serikali kali yaani...
Tanzania: Magufuli Won't Give Food, 'Even to Those Facing Hunger'