Zambia to ship Kenya’s maize by rail

Zambia to ship Kenya’s maize by rail

What happened to the country that feeds us?
 
What happened to the country that feeds us?
Tulikataa mahindi yao ya bure,sasa hivi wanatufatafata tu,hadi sokoni jombaa.Kazi yao muhimu ni kurefusha shingo tu,eti 'walalalala hizo hela zote walikuwa nazo?'.Hehe!
 
Wewe unajua maana ya "ZA" ndani ya TAZARA, nyie kwa umaskini wenu hamna chochote mnachomiliki 100% ndani ya nchi yenu.
Madini yote yana wenyewe hata uchafu kama makinikia, hata gesi hamjui mikataba yake imekaa vipi.
Kwa jinsi mlivyo wavivu ndio sababu mpo maskini miaka yote pamoja na kwamba liinchi lenu hilo ni muungano wa nchi mbili na mna kila kitu.
Am very disappointed by reading this comment of yours, i use to think that most of you Kenyans are intelligent unfortunately you proved me wrong. you could have got mahindiz from Tanzania for a very cheap price, underestimation yenu kwa sleeping Giants (Bongo-amkas) imepelekea kutuingizia fedha Tanzania bila hata ya kutoa mahindi. poor you

Nakushangaa kuongelea madini ya Tanzania na sio nja ya Kenya.
 
Wewe unajua maana ya "ZA" ndani ya TAZARA, nyie kwa umaskini wenu hamna chochote mnachomiliki 100% ndani ya nchi yenu.
Madini yote yana wenyewe hata uchafu kama makinikia, hata gesi hamjui mikataba yake imekaa vipi.
Kwa jinsi mlivyo wavivu ndio sababu mpo maskini miaka yote pamoja na kwamba liinchi lenu hilo ni muungano wa nchi mbili na mna kila kitu.
Masikini nyinyi mnaokosa hata chakula kila siku mnalua njaa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ujanja mfukoni si mna viwanda vya bublish nyinyi kuleni hizo kudadadeki tuachieni mahindi yetu wenyewe tunatengenezea popcorn haya[emoji1] [emoji1]
 
Mimi kwa sasa sitaki sikia kenge anaeitwa Kenya. Majmaa malofa sana.
 
Kungekuwa na food shortage mahindi ya kuja kenya yangetoka wapi mbona ww hujielewi tatizo la ubongo kukaa kwenye mfuko wa shati hilo

Mngekua hamuna njaa hamngewavizia wakulima wenu wanaotamani kuuza mahindi Kenya kwenye hela ya kweli. Waziri mkuu mwenyewe amekiri kwamba nchi yenu imekumbwa na uhaba hivyo mnalazimika kuwakamata wakulima hao. Juzi tumeona mlifuata mahindi hadi Malawi.
 
Unatakiwa kuwa na akili siyo zaidi ya akili ya mende kuweza kujua Tanzania hamna njaa malawi nyinyi wakenya ndio mnapita TZ kwenda kununua huko hapa TZ mahindi 100kg bag ni Tsh 60000 mtabaki na njaa zenu maandazi nyinyi
Naskia ni marufuku kuuza mahindi.kutoka Tanzania.

Mkubali ukweli, nchi yenyu ndio imeathirika mno na njaa kanda hili. Halafu mna serikali kali yaani...

Tanzania: Magufuli Won't Give Food, 'Even to Those Facing Hunger'
 
Mngekua hamuna njaa hamngewavizia wakulima wenu wanaotamani kuuza mahindi Kenya kwenye hela ya kweli. Waziri mkuu mwenyewe amekiri kwamba nchi yenu imekumbwa na uhaba hivyo mnalazimika kuwakamata wakulima hao. Juzi tumeona mlifuata mahindi hadi Malawi.
Mnaimba hela hela, kwanini hamuiweki kwenye sufuria mkaisonga kama ugali na kula?
 
Back
Top Bottom