View attachment 1726941
Haikuwa tu
Amerika na Umoja wa
Kisovyeti katika mbio za kuufika Mwezi na Anga za mbali katika miaka ya 1960.
Kifungu cha habari katika jarida la
Time 1964 kilichoelezea kuhusu uhuru wa
Zambia kilijumuisha habari nyingine kuhusu mtu mmoja ambaye hakufurahi sana juu ya sherehe hizo za uhuru kwa sababu zilikuwa zinazuia mpango wake wa safari ya anga
Edward Makuka Nkoloso
Huyu mwanadamu alikuwa
Edward Makuka Nkoloso, mwalimu wa sayansi na mkurugenzi wa kujitegemea wa Chuo cha Taifa cha Sayansi
Zambia, na utafiti wa space na falsafa.
Waandishi wa habari wengi wa kigeni waliichukua habari hiyo na kuandika, ingawa tangu mwanzoni haikuwa wazi jinsi gani ingefanyika na lengo kubwa la
Nkoloso lilikuwa lipi hasa ?na ni kiasi gani alikuwa anachezea hadi maslahi ya kimataifa.
View attachment 1726950
Iliripotiwa lengo la
Nkoloso lilikuwa kufanya
Zambia iwe nchi ya kwanza kufikia mwezi. Labda baada ya uhuru
Nkoloso alikuwa na nia ya kuthibitisha nguvu na umuhimu wa nchi katika hatua ya dunia.
Katika jaribio la kufikisha ujumbe huu kuwa anaweza kuufikia mwezi
Nkoloso aliajiri
astronauts(wanaanga) kumi na mbili, na kuanza kuwapa mafunzo aliyoyapanga yeye mwenyewe
Aliwaweka katika ngoma yenye mafuta, akawaweka kwenye miti iliyochimbwa kati miti na kuibiringita mpaka chini ya milima ili kuwaandaa kwenye swala la uziito na mafunzo mengi mengi.
(unaweza kutembelea youtube kujionea)
View attachment 1726945
MATHA MWIMBA MWANAANGA ALIYEISHIA KUPATA MIMBA
View attachment 1726946
Matha Mwimba mwenye umri wa miaka 16 alichaguliwa kama mtu wa kwanza kujaribu kwenda
Mars.
Nkoloso alidai kuwa mwishoni mwa mwaka wa 1964 msichana huyo pamoja na paka wawili na mjumbe wa
Kikristo, wangefanya safari ya kwenda
mwezini na kisha kwenye Sayari ya
Mars. Mbwa wa
Nkoloso aliyeitwa
Cyclops wakati huo alifanya Spacecraft iliyotaka kutumiwa na Nkoloso kupewa jina mbwa huyo -
Cyclops I
View attachment 1726951
NKoloso aliripotiwa kuandika kwa nchi nyingi na mashirika ya kuomba pesa,
Aliwaandikia Israeli ,
Marekani,
USSR na
UNESCO. kuhusu kupata Mchango aliomba ombi la kupata $ 20,000,000 hadi dola bilioni 2
, Yeye hakupokea chochote lakini alikuwa anahitaji sana. Licha ya kuomba fedha kutoka kwao,
Nkoloso alitoa tuhuma juu ya
Marekani na
Soviet Union, akisema aliamini kwamba walitaka kuiba siri zake na kuufikia uso wa mwezi wa kwanza kabla yake. Mpango huo hatimaye ulifeli na si tu kwa sababu ya ukosefu wa fedha. Hata mwanaanga aliyechaliwa
Matha Mwamba akapata mimba na kurudi nyumbani kwao
Wanaanga wengine pia waliondoka, waliripotiwa kuendelea na maisha mengine kamwe hawakurudi, Na hapakuwa na wavumbuzi na wala hakuna pesa, mwezi ukaonekana upo mbali sana.
View attachment 1726949
Baada ya kushindwa kwa mpango wake safari ya Anga,
Nkoloso alihamia katika siasa - alichaguliwa kwa kituo kimoja cha ukombozi, ambacho kilizingatia uhuru wa kikanda.
Afronauts Nkoloso baada ya majaribio ya kusafiri
SPACE kushindwa akataka iwe sehemu ya historia iwe yenye kusahauliwa tu, na haikuwa kawaida katika makala ya zamani
Lakini waasanii kama vile
Cristina de Middel. wakatoa Mfululizo wa hadithi za picha 2012 na
Middel aliuita
'Afronauts' - jina lile lile
Nkoloso alilowapa
astronauts wake - ikaibuka hadithi hii tena. Baada ya kuja na mpango wa Anga wa Zambia katika orodha ya majaribio yaliyoshindwa,
De Diddel alihisi kulazimika kutengeneza hadithi.
Picha ya '
Afronauts' ilikuwa imechapishwa na
De Middel na alipata sifa nyingi.
da Vinci XV