Zambia walipojaribu safari ya mars na moon: na mwanaanga wao alipoishia kupata mimba (1960s)

Bila shaka Nkoloso alimpa mimba Matha
 
Majibu unayo ....Kingetukwamisha nini kama sio pesa🤷‍♂️
Kwa kuweka kwenye kichwa cha habari yako "mwanaanga wao alipoishia kupata mimba" umemlenga kama ndio kikwazo au kidhihirisho cha kukwama kwa huo mpango wao.
 
Niliisoma vyema sana kule Facebook.

Jamaa ni mwamba mpaka kifo chake. Alizikwa kwa heshima mno nchini Zambia
 
Pesa pesa pesa
Ndio mkuu,hela itakufanya jamii yako ielimike,ivae nguo namba moja,hali ya miundombinu kua bora kilaeneo,lakin ukikosa hivo pesa kama hivo, mwingine alirudi na mimba badala yakwenda mars
 
Aisee kwakwelii
 
Ndio mkuu,hela itakufanya jamii yako ielimike,ivae nguo namba moja,hali ya miundombinu kua bora kilaeneo,lakin ukikosa hivo pesa kama hivo, mwingine alirudi na mimba badala yakwenda mars
kweli , mkuu Naunga naafiki kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…