Zambia wana malls nyingii na hawajisifu kama hawa jamaa zetu wa Kenya

Zambia wana malls nyingii na hawajisifu kama hawa jamaa zetu wa Kenya

Bro ukienda Botswana na Namibia utaona maendeleo makubwa, lakini wako kimya kabisa.
Ila waKenya wakifanya kidogo tu, kelele dunia nzima.
Majamaa zetu mazuzu sana
Kuna mshikaji alienda Lusaka alinambia kuna malls kila kona mm nikahisi ananijaza tu...sasa kitu kama unavyoona lakin wenyewe wako kimya. Hawa nyumbu as jubilee wanakelele sana na vyombo hawana
 
Urban population - Country Ranking - Africa
Definition: Urban population refers to people living in urban areas as defined by national statistical offices. It is calculated using World Bank population estimates and urban ratios from the United Nations World Urbanization Prospects. Source : Countries ranked by Urban population - Africa

RankCountryValueYear
1Nigeria90,385,380.002016
2Egypt41,358,560.002016
3South Africa36,505,690.002016
4Dem. Rep. Congo33,868,360.002016
5Algeria28,953,740.002016
6Morocco21,407,720.002016
7Ethiopia20,400,760.002016
8Tanzania17,958,710.002016
9Ghana15,424,000.002016
10Sudan13,459,570.002016
11Côte d'Ivoire
 
Tatizo la kenya cause of the superiority mentality hawajawahi kufikiria kwamba kuna nchi nyingine yoyote kwenye black Africa inaweza kuwapita kwa chochote, zaidi ya South Africa na Nigeria. Watu walioendelea kama SA, Botswana na Angola wako humble sana.

Halafu wakenya hawajielimishi kimachoendelea sehemu nyingine bila ku-realize wana lag behind kwenye mambo mengi. Wakenya wengi washomba sana. Kuna mkenya mmoja alikuja Europe akawa analinganisha Nairobi na miji mingine ya East Africa na akasifia Nairobi cause ina magari mengi na heavy traffic jam kwenye rush hours!!! Kwa hiyo yeye traffic jam ni alama ya maendeleo ya jiji!!! Nilimuelewesha kwamba hiyo ni alama ya dysfunctionality, kwamba mji una tatizo kubwa hakuweza kubadili mtizamo wake kutoka kuona jam kama tatizo badala ya sifa!!

Wakenya wengi hawana exposure wakiwepo wanaochangia hapa JF!!
 
Am proud of this guy. Darasani tulikuwa tunamwita Ghana Baby . Na chuo alijulikana kwa jina hilo.. safi sana naona katusua kwnye channel yake .. wode maya mwanangu nakumiss sana
Darasani mlisoma naye wapi? Kwenye ndoto yako pengine. Jamaa kasomea Aeronautical Engineering huko China. Wewe ulisomea kijitonyama high school.
 
Tatizo la kenya cause of the superiority mentality hawajawahi kufikiria kwamba kuna nchi nyingine yoyote kwenye black Africa inaweza kuwapita kwa chochote, zaidi ya South Africa na Nigeria. Watu walioendelea kama SA, Botswana na Angola wako humble sana.

Halafu wakenya hawajielimishi kimachoendelea sehemu nyingine bila ku-realize wana lag behind kwenye mambo mengi. Wakenya wengi washomba sana. Kuna mkenya mmoja alikuja Europe akawa analinganisha Nairobi na miji mingine ya East Africa na akasifia Nairobi cause ina magari mengi na heavy traffic jam kwenye rush hours!!! Kwa hiyo yeye traffic jam ni alama ya maendeleo ya jiji!!! Nilimuelewesha kwamba hiyo ni alama ya dysfunctionality, kwamba mji una tatizo kubwa hakuweza kubadili mtizamo wake kutoka kuona jam kama tatizo badala ya sifa!!

Wakenya wengi hawana exposure wakiwepo wanaochangia hapa JF!!

It is stereotyping. Ni rahisi kudai kuwa Wakenya wanajisifia sana kuliko Botswana, Angola etc. Kinachokufanya uamini hivyo ni kuwa una-interact na Wakenya zaidi kuliko watu kutoka nchi nyingine.
Another thing; huyo blogger ana-promote channel yake, unachukulia kila alichokisema ni gospel truth?
 
Wazambia watajisifu kwa lugha ipi hiyo ambayo mtaweza kuielewa? Maanake kile kiinglishi chenu cha ze katarist huwa mnakielewa nyinyi wenyewe tu. [emoji1]
City of malls kwann hakusema NBO?
mtachapwa hadi muongee kijaluo Leo
 
There is no data presented to show that Lusaka has more malls than Nairobi.
A quick search tells me that their biggest mall, Levy, is half the size of Nairobi's Two Rivers mall.

The video shows less than 10 malls. Residents approximate Lusaka has like 30 malls.
A quick Google search tells you Nairobi has over 100 malls of varying sizes. About 5 of which are bigger and grand than any mall in Tanzania.

So, please move this thread to the LDC section, because that's where Tanzania and Zambia belong.
 
Back
Top Bottom