It is stereotyping. Ni rahisi kudai kuwa Wakenya wanajisifia sana kuliko Botswana, Angola etc. Kinachokufanya uamini hivyo ni kuwa una-interact na Wakenya zaidi kuliko watu kutoka nchi nyingine.
Another thing; huyo blogger ana-promote channel yake, unachukulia kila alichokisema ni gospel truth?
Mi na interact na wote. Mi mtu international si kama wewe!! Uliza mtu yoyote East Africa atakwambia Kenyan attitude. Kwa materials mlikimbiza kidogo huko nyuma your time is now over!!!
By the way, JF wangeanzisha forum ya "Rwanda News and Politics" tu discuss mambo positive ya maendeleo rather than kusikiliza sifa hewa za Kenya.
Yaani watu wanajisifia mpaka wanadanganya their whole nation kwamba wana the biggest budget in East Africa only to realize hawana fedha!!!! Sijui hii english inawasaidia nini!!