Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Bro ukienda Botswana na Namibia utaona maendeleo makubwa, lakini wako kimya kabisa.
Ila waKenya wakifanya kidogo tu, kelele dunia nzima.
Tatizo ushamba mwingi.
Hapa JF Kenya section si kule vijiweni ambako mtu yeyote anaweza ku claim kitu bila ushahidi...... How big is Lusaka? Lusaka mji mdogo kwahivyo ukitembea unaweza kuona kila kitu kwa siku mmoja... So ni rahisi kusema ni city of malls kwasababu kila kona ndani ya mahali padogo unapatana na mall...... Try go through all the malls in Nairobi, I guarantee you, hautamaliza kuzizunguka na siku moja...
Hizi hapa takwimu za mallas in Africa (Outside of South Africa)
By 2016:
2. Nairobi, Kenya ilikua na 391,000 square meters of retail mall space.
3. Windhoek, Namibia - 260,000 sq.m
4 Gaborone, Botswana 247 sq.m
..
..
7. Lusaka, Zambia 149,000 sq.m
Kwahivyo licha ya hio Video, Zambia wako mbali sana kulinganisha na Nairobi hata kama wako mbele ya Dar! Na ikiwa mtadai eti 2016 ni mbali kwahivyo sahii wametupiku kwa malls, jua kwamba by 2016, bado Kenya ndo ilikua inaongoza kwa ujenzi wa malls mpya...
Kwahivyo Zambia ni size yenu Dar, sisi tuwachie tupambane na kina Egypt