Zambia wana malls nyingii na hawajisifu kama hawa jamaa zetu wa Kenya

Yep. Walifuta watu 20 kazi baada ya kuuza Jumia Travel kwa Travelstart.
Workforce yao Kenya ikashuka kutoka 686 hadi 660.

Otherwise business as usual.

Lakini LDC Tanzania, Rwanda, Burundi hakuna biashara. Wamefunga kazi.
Na huoni kabisa kuwa kupunguza wafanyakazi ni dalili mbaya ya biashara,
Ldc but tunalisha nchi yenu kuanzia matunda hadi mazao ya nafaka 😂😂😂
 
You've nailed it I don't remember when was the last time I 'd been to the shopping mall with all this online sellers why should I bother go to malls?
Watu walioendelea siku hizi wanaachana na habari za mi malls, wanamaliza manunuzi online. For the most part.

Nyie bado mnashangilia na kushindana kwa namba za mi malls?

Tena ambayo inauza zaidi vitu ambavyo hamjatengeneza?

Ulimbukeni gani huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi umenikumbusha enzi nikiwa college.

Kuna mdada mmoja wa ki-Namibia alikuwa anasema kuwa wao [Namibia] wameendelea kushinda Tanzania kwa sababu wana fast food restaurants kama McDonald’s.

Mimi nikawa namwambia kuwa hicho wala si kipimo cha maendeleo.

Nikamwambia kuwa vitu vya kutengenezea burger vyote tunavyo. Suala ni kuamua tu.

Isitoshe, burgers hata watu binafsi wanaweza kujitengenezea wao wenyewe. Si lazima waende McDonald’s ndo waweze kuzila.

Hapo ndo nilipoona kuwa kifikra nilipevuka mapema sana.

Cha kushangaza zaidi, huyo mdada alikuwa ni pre-med student [so she was supposedly smart].

Sasa ni daktari huko Afrika Kusini.
 
You've nailed it I don't remember when was the last time I 'd been to the shopping mall with all this online sellers why should I bother go to malls?

Sent using Jamii Forums mobile app

Pamoja na e-commerce, trend sasa hivi ni open-air malls or mixed-use developments. Yale ma big-box looking malls ndo yanafungwa.

Eneo linakuwa na maduka madogo madogo, migahawa, apartments, condos, townhouses, office buildings, bustani ya kupunzikia na kucheza, na kadhalika.

Na huoni kabisa kuwa kupunguza wafanyakazi ni dalili mbaya ya biashara,
Ldc but tunalisha nchi yenu kuanzia matunda hadi mazao ya nafaka 😂😂😂

Wamefunga Jumia Travel Africa yote. Sio Kenya tu.
Wameuza operations zao kwa Travelstart.

Huu uzi umenikumbusha enzi nikiwa college.

Kuna mdada mmoja wa ki-Namibia alikuwa anasema kuwa wao [Namibia] wameendelea kushinda Tanzania kwa sababu wana fast food restaurants kama McDonald’s.

Mimi nikawa namwambia kuwa hicho wala si kipimo cha maendeleo.

Nikamwambia kuwa vitu vya kutengenezea burger vyote tunavyo. Suala ni kuamua tu.

Isitoshe, burgers hata watu binafsi wanaweza kujitengenezea wao wenyewe. Si lazima waende McDonald’s ndo waweze kuzila.

Hapo ndo nilipoona kuwa kifikra nilipevuka mapema sana.

Cha kushangaza zaidi, huyo mdada alikuwa ni pre-med student [so she was supposedly smart].

Sasa ni daktari huko Afrika Kusini.

Wacha kelele. Huyo mdada alikuwa correct.

McDonalds, Starbucks na wengine multinationals hufungua nchi ambazo wamefanya utafiti wakajua wenyeji wana pesa. - Market research.

Mkijipata hamna hizi, jua hesabu imeangaliwa ikaonekana nyinyi ni LDC na wakifungua itakuwa hasara tupu.

Fanya hesabu ya multinational companies Tanzania vs Kenya, kisha utajua nani LDC.
 
Wacha kelele. Huyo mdada alikuwa correct.

McDonalds, Starbucks na wengine multinationals hufungua nchi ambazo wamefanya utafiti wakajua wenyeji wana pesa. - Market research.

Mkijipata hamna hizi, jua hesabu imeangaliwa ikaonekana nyinyi ni LDC na wakifungua itakuwa hasara tupu.

Hahahaa.

Starbucks wanauza nini vile?

Umenikumbusha mdada mwingine...

Kuna siku nilimwambia nakunywa lemonade.

Yeye akasema eti nina mambo ya Kizungu.

Nikashangaa.

Kwa nini kunywa lemonade ni mambo ya Kizungu?

Mbona tokea nikiwa toddler nimekuwa nakunywa lemonade.

Si unakamua tu malimao, unachanganya na maji vile unavyotaka wewe halafu unaweka sukari [kama unataka].

Sasa uzungu uko wapi hapo?

Kwani bongo magengeni hawauzi malimao?

SMDH
 
From this report, Nairobi alone has more malls than the remaining East African countries combined.
2237616_9363103_i5_png1a3ff51598fa2a5e43b19b2da06d4332.png
 
Don`t be stupid, at least in Kenya Jumia have just reduced the number of workforce while in Tanzania they closed indefinitely.
Don't be stupidi,
Umeafuatilia toka mwanzo ninacho bishana na mwenzako hadi alipochange gear hewani na Kuhamishia mada mahali pengine au umekurupuka kuniquote.
Alafu huko kwenu inaonesha makampuni yanapunguza wafanyakazi hadi mshazoea mnaona ni hali ya kawaida tu yaani 😂😂😂
 
Which one is better between the two? Reducing work force or closing the operation that renders all workers jobless?
 
Kampuni kupunguza wafanyakazi ni dalili mbaya kwa kampuni ama tuseme ni hatua ya mwisho kuelekea kampuni kufungwa,
Wakenya wengi pia huwa wanalalamika kuhusu huduma za jumia na ni malalamiko hayo hayo ndio yalisababisha watanzania wengi waache kutumia jumia na kuanza kutumia kampuni zingine kwa ajili ya kufanya manunuzi.
 
Now you are trading on rumors, no facts at all. Goodbye albino eater.
 
Pamoja na e-commerce, trend sasa hivi ni open-air malls or mixed-use developments. Yale ma big-box looking malls ndo yanafungwa.

Eneo linakuwa na maduka madogo madogo, migahawa, apartments, condos, townhouses, office buildings, bustani ya kupunzikia na kucheza, na kadhalika.

Kiukweli katika stages za maendeleo, kumtaka mtu anayelimbuka aache kulimbuka inaweza kuwa si sawa.

Huwa nawaangalia wanamazingira wa magharibi, wanataka watu wapunguze consumption, kula nyama, kununua mi electronics etc, kwa sababu wataharibu mazingira.

Wakati wao washafaidi vyoote hivyo kwa miaka kibao.

Huko Afrika tumeanza ku recycle out of necessity, unakuta nyumba ya walokole wanatumia chupa ya whisky kuwekea maji, hawajui hata whisky kanywa nani.

Leo watu wameanza kulimbuka, uwaambie wasinunue ma electronics, wasifanye hivi.

Wanaweza kukujibu, mbona wewe ulivyokuwa unalimbukia hivi vitu hatujakuambia usifanye hivi na vile?

Tuache tulimbuke!
 
Back
Top Bottom