mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
Lukumay atulie tu, kwa sasa hatuna serikali ya kutetea wananchi wake, tuna Rais dhaifu mwenye upeo dhaifu pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tusipende sana busara ya mazungumzo, wao mbona hawakuwa na hiyo busara....?Kabla ya kufika huko Busara ya mazungumzo ifanyike Kwanza,pia kufanya evaluation za faida na hasara za kuchukua hatua hizo,Wadau pia washirikishwe.
Na sisi tunakuja na sheria kama hiyo hiyo 50%ibebwe ba waTz 30%Tazara na 20% others sasa hapo ndo lazima turudi mezani... soma uelewe! Nimegusia nchi jirani hapo; na sidhani hiyo sheria imeilenga Tz peke yake bali nchi zote ambako mizigo ya Zambia itapita nazo zitaathirika.
Hapo tunacopy na kuopest hiyo sheria 50% waTz 30% Tazara na 20% others ndonutaona timbwiri lake lazima turudi mezaniLukumay atulie tu, kwa sasa hatuna serikali ya kutetea wananchi wake, tuna Rais dhaifu mwenye upeo dhaifu pia.
... iko hivi, Zambia ina-import kuliko inavyo-export. Hivyo, Tz bado iko kwenye fungu la kukosa tukifanya kama unavyopendekeza.Na sisi tunakuja na sheria kama hiyo hiyo 50%ibebwe ba waTz 30%Tazara na 20% others sasa hapo ndo lazima turudi mezani
Biashara kati ya Tz na zambia sio bandari tuu tunaweza tuwabana sehem nyingine na wakalainika... iko hivi, Zambia ina-import kuliko inavyo-export. Hivyo, Tz bado iko kwenye fungu la kukosa tukifanya kama unavyopendekeza.
Sisi si ni kisiwa cha amani?!!!tusipende sana busara ya mazungumzo, wao mbona hawakuwa na hiyo busara....?
... zaidi ya Bandari hakuna kingine chochote tunachoizidi Zambia; sana sana tumezidiwa.Biashara kati ya Tz na zambia sio bandari tuu tunaweza tuwabana sehem nyingine na wakalainika
Wanataka kubembelezwaKazi kulialia tu, mizigo yenyewe inatoka kwenu…. si muamue tu mizigo yote kutoka bandarini ibebwe na Watanzania hadi mpakani!
Poor Sleeping Giants.
Tumewazidi Zambia vitu vingi kama vile:... zaidi ya Bandari hakuna kingine chochote tunachoizidi Zambia; sana sana tumezidiwa.
? Kwa mfano mama akaingilia kati then na Zambia wakakaza halafu mizigo yao wakahamishia Beira inakuaje?
Beira city '90 percent destroyed' by Cyclone Idai, hundreds dead ...
18 Mar 2019 — Filipe Nyusi says more than 100000 are at risk after storm hit Mozambique, Malawi and Zimbabwe. ... port city of Beira, 90 percent of which was destroyed
Sio Zambia tu hata Rwanda na Burundi bandarini kumejaa trucks za Rwanda Burundi na Zambia pia ni hatari kwa usalama wa bandari,Hivi Zambia walivyo na rohombaya bandari kama ingekua kwao sijui kama kuna Tanzania angetia nguu,Wakonngo kupitisha mizigo yao Zambia mateso wanayoyapata Mungu ndio anajua.Wanzambia wangepakana na WaKenya wangezipiga kila siku wote ni watataSalaam Wakuu,
Chama cha Wamiliki Malori Tanzania(TATOA) Wameiomba Serikali kuingilia kati Sheria iliyotungwa Zambia ya kusimamia Uingiaji na utokaji wa Mizigo Nchini Zambia.
Sheria hiyo inataka Mizigo yote inayoingia Zambia, 50% ibebwe na Wazambia Wazawa, 30% ibebwe na TAZARA na 20% ibebwe na Watu wengine.
Akiongea na Wanahabari, leo 24June 2021 Mkoani Dar Es Salaam, Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Truck Owners Association( TATOA) TATOA ndugu ELIAS Lukumay amesema kitendo hicho ni kinyume na muongozo wa SADC ambao unaelezea kuwe na biashara Huria, na inataka tushindane kwa ubora na bei si Sheria kandamizi.
Lukumay amesema, hili tatizo lisipofanyiwa kazi, Malengo ya Tanzania ya Kupitisha Mizigo Bandari ya Dar Es Sakaam ya kufikia Tani Milioni 30 kwa Mwaka haitafikiwa. Sasa hivi Tanzania inapitisha Mzigo tani Milioni 17 kwa Mwaka.
Amesema Tanzania inaboresha Miundombinu ya bandari na barabara. Lakini hatua hii ya Zambia itafanya Watanzania Wasinufaike na Bandari ya Dar Es Salaam. Pia Wasafirishaji wa Tanzania wamekopa kwenye Mabenki Mbalimbali, hivyo hii Sheria kama itatekelezwa Zambia, itapelekea Kampuni nyingi za Tanzania kufilisika.
Wamemuomba rais Samia awasaidie kuondoa hii kero kwani Watanzania hawataruhusiwa Magari yao Kupeleka Mizigo Zambia
Amechukua nafasi hiyo ya kuongea na Wanahabari kumpongeza kwa jinsi alivyoongeza Ufanisi wa Utendaji Bandarini. Foleni ya Malori imeisha, Utendaji umekuwa mzuri.
View attachment 1828399
Kutoka kushoto: Mallamia Elitunu Katibu Mtendaji Chama cha Mawakala wa Forodha TAFA, Makamu Mwwnyekiti wa TATOA ndugu ELIAS Lukumay,Hussein Wandwi Mtendaji Mkuu Chama cha Wasafirishaji( TAT)
Hapa tunafanya upembuzi yakinifu wa Geopolitics.
Beira ilikumbwa na tufani kali toka baharini na miundo mbinu kuharibiwa. Waasi wa Kaskazini mwa Mozambique wanaendelea kuwa tishio kwa miundo-mbinu na usalama maeneo ya majimbo ya Kaskazini na ya kati ya Mozambique.
Nchi jirani ya Mozambique imeshindwa kutoa uhakikisho kwa wawekezaji wake usalama na ulinzi kutokana na majeshi ya usalama ya Mozambique kupenda rushwa, kukosa morali ya kupigana na waasi, kuuza silaha kwa waasi.
Na nchi hiyo ya Mozambique kuendeshwa kikanda mfano viongozi wa juu kutoka kaskazini ya Mozambique hawana utashi kuhakikisha tishio la waasi kaskazini likiisha kwani kwanza waasi ni ndugu zao, pili kwamekashimisha majeshi ya kampuni binafsi "wapambane" na waasi ili makampuni hayo yatoe rushwa kwa viongozi wa serikali ya Mozambique.
Kifupi mikutano hii ya dharura ya troika huko Mozambique inazungumzia hatari iliyopo inayotishia uchumi na usafiri wa eneo hilo la kati ya Mozambique na kaskazini ya Mozambique.
Tanzania itumie geopolitics yake vizuri kuwabana hawa wenzetu wa Zambia kuwa warudi mezani kwa manufaa yao.
Tatu ushawishi wa Tanzania kwa nchi za Kusini ya Afrika ni mkubwa kuliko "lugha ya kiswahili ya Palamagamba", hapa diplomasia ya kiuchumi itumike ipasavyo kwa lugha mama ya Diplomasia ya Kimataifa ambayo ni Kiingereza kukumbushia maagano, mapatano, maazimio na protokali zote za SADC juu ya kuwepo biashara huria huru miongoni mwa nchi wanachama zizingatiwe na kuwa sheria mbaya hii ya Zambia imekiuka na kukengeuka matumaini ya uwepo wa SADC imara.
Serikali ya Tanzania iwe karibu na TATOA ili kupanga mikakati sahihi
He said the situation has now normalized as more fuel was expected to start coming into the country.Nkhuwa said OMCs have been complaining about the exorbitant prices charged by local transporters hence their decision to engage the foreign ones.
Waanzishe road toll kwa magari ya kigeni... serikali na nchi jirani ziongeze tozo kwa malori ya Zambia yanayokanyaga ardhi ya nchi zao. Watatia adabu!