Zamelek Apewa points 3 na magoli 3 baada ya Ahly kugomea Cairo Derby

Ebu tuangalie kiini cha tatizo kwanza. Ni kwanini Yanga mliwazuia Simba wasiingie uwanjani?
Wew huna akili aliezuia nimeneja wa uwanja nayeye amesema simba hawakutoa taarifa kama wataenda kufanya mazoez, hata hivyo kukataliwa kufanya mazoez sio kigezo chatim kususa mechi zipo hatua zakuchukua
 
Walisimamisha mechi kwa kanuni ipi?
Kanuni inawaruhusu Bodi kupanga na kupangua ratiba. Hata hiyo ya tarehe 8 walipanga wao, wakapangua wao.

Leteni timu siku ambayo match officials wapo, msivizie kuleta wakati hakuna mtu wa kuikagua timu na kupiga filimbi ya kumaliza mechi
 
Wew huna akili aliezuia nimeneja wa uwanja nayeye amesema simba hawakutoa taarifa kama wataenda kufanya mazoez, hata hivyo kukataliwa kufanya mazoez sio kigezo chasim kususa mechi zipo hatua zakuchukua
Asiye na akili ni yule anayepeleka timu uwanjani wakati hakuna refa
 
Wew huna akili aliezuia nimeneja wa uwanja nayeye amesema simba hawakutoa taarifa kama wataenda kufanya mazoez, hata hivyo kukataliwa kufanya mazoez sio kigezo chasim kususa mechi zipo hatua zakuchukua
Atakusumbua akili yako huyo achana nae
 
Wew huna akili aliezuia nimeneja wa uwanja nayeye amesema simba hawakutoa taarifa kama wataenda kufanya mazoez, hata hivyo kukataliwa kufanya mazoez sio kigezo chasim kususa mechi zipo hatua zakuchukua
Acha makelele wewe. Usitufanye kama sisi wengine hatuna taarifa sahihi.
Mmeanzisha tatizo ila mkakutana na wanaume wenye misimamo. Haya sasa wiki nzima mnatoa milio tu. Tatizo penu ni ushamba ns uswahili mwingi
 
Kwa ile Yanga kutafuta sababu za kukimbia mechi ni lazima maana mechi nyepesi tu mpaka mpewe matuta hao AZAM wachezaji watatu ndio walikua wanasumbua sasa hiyo Yanga Timu nzima ni ya moto mliichungulia mkatoa sababu za hovyo..
 
Kwanza kwenye hili ulipaswa ujifunze udhaifu wa viongozi wanaosimamia ligi yetu badala ya moja kwa moja kwenda kwenye point 3. Al Ahly walitoa msimamo wao kuwa hawatocheza mechi kwasababu ya mwamuzi hatoki nje ya nchi yao, lakini hukuona chama cha soka cha misri wakiitana kujadiliana bali wamekaa kimya na kuacha taratibu zote za mechi ziendelee.

Hapa kwetu bodi ya ligi ikajivua nguo kwa kwenda kumjadili aliyegomea mechi na kisha kuifuta mechi.
 
Akili ziwakae wakati wakati mkigoma wanajichotea point 3 na magoli 3?
 
Acha makelele wewe. Usitufanye kama sisi wengine hatuna taarifa sahihi.
Mmeanzisha tatizo ila mkakutana na wanaume wenye misimamo. Haya sasa wiki nzima mnatoa milio tu. Tatizo penu ni ushamba ns uswahili mwingi
Tatizo limetengenezwa na Simba wenyewe
Walienda uwanjani bila taarifa tena usiku walitaka wafanye vip mazoezi usiku bila kuwajulisha wenye mamlaka ya uwanja wawape mazingira rafiki kama mwanga

Yanga sio mmiliki wa uwanja, Yanga hakuwa na funguo za mageti ya uwanja
Watu wa Yanga wangezuia vip msafara wa Simba uliosindikizwa na police
 
Acha makelele wewe. Usitufanye kama sisi wengine hatuna taarifa sahihi.
Mmeanzisha tatizo ila mkakutana na wanaume wenye misimamo. Haya sasa wiki nzima mnatoa milio tu. Tatizo penu ni ushamba ns uswahili mwingi
Sawa tupe kanuni au sheria inayosema kuwa timu ngeni ikishindwa kufanya mazoezi ya mwisho inatakiwa mechi asicheze.
 
Acha kujitoa ufahamu,unadhani kunyimwa fursa ya kutumia uwanja ingetokea simba akafungwa goli la mchongo ingekuwaje,kungeweza kutokea hata vifo
Kwahio suala ni kwamba bodi ya ligi walijua mtafungwa na mngetumia kigezo cha uwanja kulalamika [emoji1].Jengeni timu ya ushindani wenetu.
 
Kanuni inawaruhusu Bodi kupanga na kupangua ratiba. Hata hiyo ya tarehe 8 walipanga wao, wakapangua wao.

Leteni timu siku ambayo match officials wapo, msivizie kuleta wakati hakuna mtu wa kuikagua timu na kupiga filimbi ya kumaliza mechi
Kanuni ipi inayowaruhusu kuahirisha mechi bila sababu ya msingi?

Kwenye ripoti yao hakuna hicho kifungu cha kanuni zaidi ya neno busara. Waliangalia madhara ya kuahirisha kabla ya kutoa maamuzi?

Yanga wanayo haki ya kudai point 3 kwa uzembe wa bodi ya ligi pamoja na utoto wa simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…