Kichogo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 2,094
- 3,218
Wew huna akili aliezuia nimeneja wa uwanja nayeye amesema simba hawakutoa taarifa kama wataenda kufanya mazoez, hata hivyo kukataliwa kufanya mazoez sio kigezo chatim kususa mechi zipo hatua zakuchukuaEbu tuangalie kiini cha tatizo kwanza. Ni kwanini Yanga mliwazuia Simba wasiingie uwanjani?