Zamu yangu leo hii kitu ilinishindaga

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Jamani nilifanikiwa enzi za miaka 22 kupata mwanaume nauwezo wake wa kumiliki biashara za kutosha.

Huyu bwana aliitwa Salimu kijana mzuri wa sura na mwili pia mkarimu na anaheshima kwa kila mtu. Utampenda kwa kujali dini yake na kila mara anasaidia masikini. Anajua kutunza sana sana .

Hapendi kukuona unateseka mpenzi wake na anaweza kusaidia. Imefikia siku moja akadai anataka ndoa na pia anataka kunihalalisha. Nikaona sawa tukaanza mipango ila nikampata mtu mmoja mwanamke makamu akawa ananifunda sasa weeh nikaona hapana .

Tatizo kubwa nikushare mume eti mnapangwa kuliwa khaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€”πŸ˜Ž na hii nikitu sio fresh kabisaa .
Yaani wapo watu hata kuvuliwa boxer ni ajabu wewe unapangwa na saliim anawake watatu wote wanapeana zamu .

Nikaona shida isiwe shida nilikuwa nafanya kazi mahali kipindi hichoo .
Nikaanza kukusanya pesa za watu nikaona nirudishe .
Akaikataa na akakubali kusitisha urafiki na uhalalishwaji .

Mimi kupeana zamu ili nishinda kabisaa isitoshe ukiwa unajuwa kuwa mko wanne na mume mmoja hii ni aibu.
Sasa siku moja simu ngeni ikapigwa nikaasutwa nikaambiwa hivi anaoa mke wa nne .

Nikasema hiyo ni heri msije mkanipange kama vifurushi vya michele kisa mume .

Yakaishia hapo nikasonga akasonga hata kama umechoka maisba usikubali kushare kisa nini halafu ni umeolewa nafuu unaiba kuliko kuhalalishwa kwenye timu ya ujinga .

Mpaka mapepo mnarushiana .
Kosa ni kuoelewa na cha wote .

Siku njema
 
Mwanaume hajaumbiwa mwanamke 1. Tatizo ni nyinyi wanawake kuendekeza roho mbaya mpaka mkarogana.
Toka zamani wanaume toka zama na zama duniani kote alikua akioa zaidi ya mwanamke 1. Hii ya mke 1 imeletwa tu na kanisa
Sawa ila sio uwaweke wote ndani hii sio vizuri
 
Tunaishia misingi na suna za mtume[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…