Zanka, kata ndogo iliyokithiri vitendo vya mauaji, ubakaji

Zanka, kata ndogo iliyokithiri vitendo vya mauaji, ubakaji

Nilikotoka mimi mwanamke humkuti kilabuni amekaa anapiga soga akilewa so mpaka hapa mimi na wewe tuna ufahamu tofauti.

Fanya research utagundua wengi wanaotembea na house girls zao,shemeji zao mama wakwe zao au kuwaomba wake zao mapenzi kinyume na maumbile kishawishi kikubwa ni pombe,"pombe ni mama wa maasi" ilipoandikwa hivi haikuandikwa kwa bahati mbaya.tuwaelimishe dada zetu usawa wanaoutaka uwe wa mambo ya maana siyo hadi wakukaa vilabuni kubishana kilevi levi.
Wapi huko ulikotoka wewe? Acha ujuaji! Umeropoka kule juu watu wamekuchenjia unaleta kujitetea!
 
Back
Top Bottom