Tumsifu Samwel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2007
- 1,407
- 161
Toka jana Mtandao wa zantel hawana huduma ya GPRS nimejaribu kuwapigia simu, wanadahi kuwa "wateja ni wengi hivyo ni jaribu jioni labda nitaweza kupata access ya internet" hivi haya ndio majibu ya kumpa mteja kweli?
Nitapataje hiyo access wakati hata kwenye display ya simu panapo onyesha icon ya (G) au (E) haipo?
Hawa watu wamelewa kutokana na kuwa na wateja wengi wanapandisha bei kiholela, mwanzo kwa watumiaji wa GSM tulikuwa tuna tozwa 120Tshs per MB kwa sasa ni 166 Tshs per MB