Zantel GPRS

Zantel GPRS

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2007
Posts
1,407
Reaction score
161
Toka jana Mtandao wa zantel hawana huduma ya GPRS nimejaribu kuwapigia simu, wanadahi kuwa "wateja ni wengi hivyo ni jaribu jioni labda nitaweza kupata access ya internet" hivi haya ndio majibu ya kumpa mteja kweli?

Nitapataje hiyo access wakati hata kwenye display ya simu panapo onyesha icon ya (G) au (E) haipo?

Hawa watu wamelewa kutokana na kuwa na wateja wengi wanapandisha bei kiholela, mwanzo kwa watumiaji wa GSM tulikuwa tuna tozwa 120Tshs per MB kwa sasa ni 166 Tshs per MB
 
Hi
Ni vema tuwe tunatoa mchango wakati tumefanya utafiti wa kutosha, kuhusu hayo mengine ya Zantel siwezi sema lolote isipokuwa swala la data charge zake ni 120Tshs per 1Mb na wala sio 166Tshs per 1Mb, na pia si muda mrefu wametoa package ambayo gharama zake ni pungufu kwa 90Ths kwa 1Mb kwa maelezo zaidi wasiliana nao huduma kwa wateja kwani mimi ni mmoja wa wateja wao.

Nawatakia kazi njema na week njema
http://groups.google.com/group/Bidii?hl=en
 
Na badoo.....ku maintain services ndio issue kubwa sio kuanzisha products
 
Back
Top Bottom