VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
Nice one hawa jamaa inabidi wajue kwamba mteja ni mfalme..., wasipoangalia watabaki wenyewe.mkuu VOR ... kuna mtu nimempigia atawasilisha kwa supervisor wao aje hapa jamvini .... lakini nasikia CEO aliuliza staff kwamba kuna tatizo gani la highlife club sasa hivi
Also Customer Care yao its one of the worse... kila mtu anatoa jibu anavyojisikia and they dont even know what they are talking about
Please kama huyo jamaa angetoa time ingekuwa bora..., ili nihakikishe na mimi nipo..., lakini kwa uzoefu wangu hata huyo jamaa atatoa jibu rahisi kwamba tutashughulikia shida zenu na tutapeleka kwa wahusika...
Mimi kwa kweli nawapa ultimultum..., kama nikishindwa kuweka Highlife leo itakapoexpire I will be migrating to Airtel