Mara ya mwisho kuisikia kampuni ya simu za mikononi Zantel ni sehemu ya pili ya mwaka jana (June- December 2012).
Matangazo yake ya biashara niliyasikia sana eg 'Twanga kotekote' na Epiq Nation. Walifadhili BSS na wakaja na tangazo
moja maridadi sana lililotumia wimbo wa King Kiki '.....mtoto aanza tambaa' na kutumia majina ya majaji wa BSS. Tangazo hili liliniingia sana moyoni mwangu nikanunua chip (line) ya zantel.
Mwaka huu 2013 ulipoanza na mpaka muda huu sijawasikia katikati ya makelele ya sokoni ya '.....Kazi ni kwako,
......xyz Yatosha, au .....smile, you are with ABC'
upo vp unautaka?[/QUOTE Shine, wanikumbusha kisa cha baba mmoja mzee sana alibanwa na njaa kali akamwendea mama aliyekaa kwenye baraza ya nyumba yake na kumwambia: "Kitu kidogo mama. Njaa!"Yule mama akamjibu: "Nina pilau. Vipi, Nikuletee?