Zantel Wameenda wapi?

Zantel Wameenda wapi?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Mara ya mwisho kuisikia kampuni ya simu za mikononi Zantel ni sehemu ya pili ya mwaka jana (June- December 2012).
Matangazo yake ya biashara niliyasikia sana eg 'Twanga kotekote' na Epiq Nation. Walifadhili BSS na wakaja na tangazo
moja maridadi sana lililotumia wimbo wa King Kiki '.....mtoto aanza tambaa' na kutumia majina ya majaji wa BSS. Tangazo hili liliniingia sana moyoni mwangu nikanunua chip (line) ya zantel.
Mwaka huu 2013 ulipoanza na mpaka muda huu sijawasikia katikati ya makelele ya sokoni ya '.....Kazi ni kwako,
......xyz Yatosha, au .....smile, you are with ABC'

Au ndo wamejiondoa kwenye soko?????
 
Mbona wapo sana tu. Hapa nakamua na line ya Zantel pamoja na moderm tena ina speed sana!!Makelele ya marketing sio hoja!!
 
Mbona wapo sana tu. Hapa nakamua na line ya Zantel pamoja na moderm tena ina speed sana!!Makelele ya marketing sio hoja!!
Alaa kumbe! Makelele kwenye soko ni hoja haloo. Wateja wanaochipukia (college students etc) watajuaje upo?
 
Walitumia hela nyingi sana kwa matangazo mwaka jana wanaangalia maketing strategy cheaper ili warudi
 
upo vp unautaka?[/QUOTE Shine, wanikumbusha kisa cha baba mmoja mzee sana alibanwa na njaa kali akamwendea mama aliyekaa kwenye baraza ya nyumba yake na kumwambia: "Kitu kidogo mama. Njaa!"Yule mama akamjibu: "Nina pilau. Vipi, Nikuletee?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom