AFYA ZAIDI CONSULTANTS
Senior Member
- Mar 6, 2017
- 138
- 527
2GB = TZS. 2,640 ( buffee )TTCL Vipi?
Ila ujinga wao huwezi kuangalia Salio hadi upige customer care uongee na mhudumu akwambie Salio la bando, sms, muda wa maongezi na T-pesa maana menu yao ipo off mwezi sasa(sijuhi no makusudi au wamenunuliwa kuliua shirika!)2GB = TZS. 2,640 ( buffee )
cc TTCL Customer Care huenda wana jibu katika hili.T-pesa maana menu yao ipo off mwezi sasa(sijuhi no makusudi au wamenunuliwa kuliua shirika!)
sio Zantel tu hata VodacomDaahhh sisi tunaotegemea kujifunza, kufanya marketing na sales kwa njia ya mtandao gharama zimepanda tena. Leo naamka nakuta kifurushi cha Wiki cha ZANTEL ambacho ilikuwa unapewa GB 2.2 kwa Tsh 3,000 (Hapo kilipunguzwa pia kutoka GB 2.5) kwa sasa unapewa GB 1.9 tu. Sasa na haya mambo ya YouTube, Instagram na Streaming GB 1.9 ni kifurushi cha siku 3 tu.
Halafu haya makampuni ya simu ni wajanja kweli. Wao hawaongezi bei, bali wanapunguza ukubwa wa bundle/idadi ya GB. Maana wanajua wakiongeza bei mauzo yao yatapungua zaidi.
Huko VODACOM, HALOTEL, AIRTEL na TTCL Vipi?
Hata menu za bank huwezi kuingia.Ila ujinga wao huwezi kuangalia Salio hadi upige customer care uongee na mhudumu akwambie Salio la bando, sms, muda wa maongezi na T-pesa maana menu yao ipo off mwezi sasa(sijuhi no makusudi au wamenunuliwa kuliua shirika!)
Buffee ilikuwa 2ooo unapata 1557MB sasa wameshusha hadi 1333 kwa buku 2 hiyo hiyo2GB = TZS. 2,640 ( buffee )
Mbona kwangu naona salio vizuri tu, naangalia salio la kawaida kwa kubonyeza *102# then wananitumia meseji ya salio la bando.Ila ujinga wao huwezi kuangalia Salio hadi upige customer care uongee na mhudumu akwambie Salio la bando, sms, muda wa maongezi na T-pesa maana menu yao ipo off mwezi sasa(sijuhi no makusudi au wamenunuliwa kuliua shirika!)
Salio linakuja ndio hamna shida labda kwa badhi tu ndio inazinguaMbona kwangu naona salio vizuri tu, naangalia salio la kawaida kwa kubonyeza *102# then wananitumia meseji ya salio la bando.
Now niko Znz toka jana naona hakuna network, ningekuwa bara ninge screenshot uone.
Kabisa aisee, limenikuta hili jana usiku nashangaa GB zimepunguzwa kinyemela tuAirtel walitoa 2.2 GB kwa 3000 kwa wiki, sasa wanatoa 1.7 GB kwa 3000 kwa wiki
Ila ujinga wao huwezi kuangalia Salio hadi upige customer care uongee na mhudumu akwambie Salio la bando, sms, muda wa maongezi na T-pesa maana menu yao ipo off mwezi sasa(sijuhi no makusudi au wamenunuliwa kuliua shirika!)
OvaMtandao wa Vodacom Tanzania ingawa una Gharama Kubwa Ila Nisiseme Uongo hawa Jamaa Wamesambaa na 4G yao mpaka Vijijini unapata 4G. Ni sawa tu Gharama zao kuwa Juu
Ila Wengine Wana gharama bila Uhalisia
Nimefanikiwa mkuu, naona huduma imerejea, hahaha!Mkuu unaangalia kwa kupiga *102# tu kama kuangalia salio la kawaida unatumiwa meseji yenye maelezo kamili mimi pia mwanzo nilizani ivyo ila kumbe ukiuliza salio kama salio kuu unaletewa kila kitu jaribu