ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hivi hii Zantel bado ipo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila ujinga wao huwezi kuangalia Salio hadi upige customer care uongee na mhudumu akwambie Salio la bando, sms, muda wa maongezi na T-pesa maana menu yao ipo off mwezi sasa(sijuhi no makusudi au wamenunuliwa kuliua shirika!
Jaribu *102#Ila ujinga wao huwezi kuangalia Salio hadi upige customer care uongee na mhudumu akwambie Salio la bando, sms, muda wa maongezi na T-pesa maana menu yao ipo off mwezi sasa(sijuhi no makusudi au wamenunuliwa kuliua shirika!)
Halotel hovyo kabisa wametoa lile bundle la Tshs 1,500/=Daahhh sisi tunaotegemea kujifunza, kufanya marketing na sales kwa njia ya mtandao gharama zimepanda tena. Leo naamka nakuta kifurushi cha Wiki cha ZANTEL ambacho ilikuwa unapewa GB 2.2 kwa Tsh 3,000 (Hapo kilipunguzwa pia kutoka GB 2.5) kwa sasa unapewa GB 1.9 tu. Sasa na haya mambo ya YouTube, Instagram na Streaming GB 1.9 ni kifurushi cha siku 3 tu.
Halafu haya makampuni ya simu ni wajanja kweli. Wao hawaongezi bei, bali wanapunguza ukubwa wa bundle/idadi ya GB. Maana wanajua wakiongeza bei mauzo yao yatapungua zaidi.
Huko VODACOM, HALOTEL, AIRTEL na TTCL Vipi?
Kuwapata labda wakusogezee mnara2GB = TZS. 2,640 ( buffee )
Swala la kasi ya Internet hutegemea 'location' yako - Hii kasi, 5Mbps, inakidhi mahitaji yangu kwa eneo nililopo.Kuwapata labda wakusogezee mnara
Tigo!!! Nimechoka customer care yao shida tupu, kuna vibinti vinaongea vimebana pua, utakachosikia ni "asante kwa kuchagua tigo vinakata simu"Oya wameambizana kote mpk Tigo nao wamepandisha gharama.
Mbona kwangu naona salio vizuri tu, naangalia salio la kawaida kwa kubonyeza *102# then wananitumia meseji ya salio la bando.
Now niko Znz toka jana naona hakuna network, ningekuwa bara ninge screenshot uone.