ZANTEL wamepunguza bundle la Wiki kutoka GB 2.2 kwa Tsh 3,000 hadi GB 1.9 kwa Tsh 3,000

Ila ujinga wao huwezi kuangalia Salio hadi upige customer care uongee na mhudumu akwambie Salio la bando, sms, muda wa maongezi na T-pesa maana menu yao ipo off mwezi sasa(sijuhi no makusudi au wamenunuliwa kuliua shirika!

Ila ujinga wao huwezi kuangalia Salio hadi upige customer care uongee na mhudumu akwambie Salio la bando, sms, muda wa maongezi na T-pesa maana menu yao ipo off mwezi sasa(sijuhi no makusudi au wamenunuliwa kuliua shirika!)
Jaribu *102#
 
Hili la gharama za bundle kupanda chanzo ni vita ya Ukraine pia? [emoji848]
 
Halotel hovyo kabisa wametoa lile bundle la Tshs 1,500/=
 
siyo zantel tu hata tigo kutoka 1gb hadi mb900 kwa Tsh 1500
 
Oya wameambizana kote mpk Tigo nao wamepandisha gharama.
Tigo!!! Nimechoka customer care yao shida tupu, kuna vibinti vinaongea vimebana pua, utakachosikia ni "asante kwa kuchagua tigo vinakata simu"
 
Mbona kwangu naona salio vizuri tu, naangalia salio la kawaida kwa kubonyeza *102# then wananitumia meseji ya salio la bando.

Now niko Znz toka jana naona hakuna network, ningekuwa bara ninge screenshot uone.

MKuu unakula matunda ya Muungano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…