Uchaguzi 2020 ZANU-PF: Marekani achaneni na Tanzania ya Magufuli


..source ya hii habari ni gazeti la serikali ya Tanzania, Daily News.

..maana yake ni kwamba serikali hii imeingia katika vita ya wazi ya kidiplomasia na Marekani.

..but, WHY? tumefika vipi hapa? kuna faida gani kuwa na migogoro ya aina hii? Tunatoka vipi?

cc MALCOM LUMUMBA
 
Naona Hawa wazimbabwe wanawachochea marekani wanataka na Sisi tupigwe vikwazo Kama wao ili uchumi wetu uparaganyike Kama wao. Ni vizuri tukawajibu kwa busara Hawa Marekani maana wakiamua kukomaa na Sisi hali itakuwa mbaya.
 
Safi sana, tunataka na mataifa mengine ya Afrika yamuunge mkono Magufuli.

N mwendo wa kuunga mkono juhudi tu.
Wananchi na wanachama wa ZANU PF wanaofahamu Serikali yao ndo waliomtukana Magufuli alipomsifia Rais hivyo wa Zimbabwe mbele yao ikabidi akimbie kwa Dreamliner leo akijua adhari za vikwazo kwa watu wake Rais wa Zimbabwe anawakoromea Wamarekani ili tuwekewe vikwazo.

Kama viongozi wa nchi huru ruksa kufanya lolote kwa wananchi wao bila nchi nyingine kukemea, basi Tanzania ni nchi huru na yeye asiingilie mambo ya ndani ya nchi yetu yeye apambane kuondoa vikwazo nchini mwake alivyoshindwa Magufuli akiwa Mwenyekiti wa SADC. Magufuli is a failure everywhere!
 
Naona Hawa wazimbabwe wanawachochea marekani wanataka na Sisi tupigwe vikwazo Kama wao ili uchumi wetu uparaganyike Kama wao. Ni vizuri tukawajibu kwa busara Hawa marekani maana wakiamua kukomaa na Sisi Hali itakuwa mbaya
Mkuu wengi kwa hili tunajitoa ufaham, watatuzabua Sasa hivi,et ZIMBABWE nayo Ina jeuri ya kumkoromea MMarekani, wakati ipo ICU, china mwenyewe kwa MMarekani inaufyata sembuse Zimbabwe ambao hata kiwanda Cha kutengeza toothstick hakuna,
 
Mnangagwa aliwekwa madarakani na mabeberu, ngazi aliyopandia anaipiga teke?


Ok
 
Kweli Mkuu wakuu wa vyombo vya magazeti ya serikali na chama, radio ya Taifa, MAELEZO kimataifa wanapwaya.

Tanzania kupitia gazeti la serikali limekosa mhariri mkuu kuweza kuandika mada hii mpaka kutafuta mchezaji wa kukodi ambaye ni msemaji wa ZANU-PF aisemee serikali ya CCM Mpya katika uwanja wa kimataifa, aibu kubwa hii. Na hili halipo tu kwa gazeti la serikali bali hata msemaji Mkuu wa serikali ya Tanzania anapwaya kimataifa. Mkurugenzi za TBC Dr. Rioba pia hana ubavu kucheza Kimataifa kwa kutumia lugha ya Kiingereza. Waziri wa Mambo ya Nje balozi namba 2 Kimataifa baada ya balozi

Waziri wa Mambo ya Nje atayeteuliwa atakuwa na kazi nzito ya kuzunguka nchi za SADC na Ulaya, Marekani ya Kaskazini, China na Japan kuomba vikwazo vinavyotarajiwa visiungwe mkono ktk mabaraza ya vikao vya UN na EU.

Hapo itabidi ateuliwe mwanadiplomasia mahiri zaidi ya Augustine Philip Mahiga ili aweze kufanya ushawishi wa kimataifa sifa ambayo Palamagamba John Aidan Kabudi hana. Pia nchi kama Tanzania ktk miaka 5 iliyopita ilijitoa ktk anga ya kimataifa kwa kuendekeza lugha ya Kiswahili.

Sasa itabidi wamtafute mwanadiplomasia mahiri, mshawishi ndani na nje ya Tanzania mwenye uwezo mkubwa wa matumizi ya Lugha ya Kiingereza kurejesha ushawishi kimataifa.
 

Mtetezi wa CCM Mpya toka ZANU - PF ya Zimbabwe comrade Patrick Chinamasa

October 2020

Harare, Zimbabwe

Britain & America must apologise to Zimbabwe says Zanu PF acting national spokesperson Patrick Chinamasa

 
Zimbabwe wamechoka kuona ni wao tu ndio wanaoteseka na vikwazo, wameshaona dalili za Tanzania kuingia kundini, wameona waongoze chumvi.
Na CCM walivyo wajinga hawawezi kung'amua kuwa hawa jamaa wanawaongezea nuksi kwa ku-attract unecessary attention ya mataifa makubwa. Kijijini inapotekea wizi halafu mtuhumiwa akatetewa sana na mwizi hufanya watu wengi wajiulize kulikoni....
 
Hicho chama kimeipeleka Zimbabwe gizani, nchini iliyokuwa na utajiri wa kulisha Afrika leo hii imekuwa fukara...

Nchi za Afrika chini ya Jangwa la Afrika hazina jipya,Waafrika Hisia zimewatala,..

Waache watafute njia ya kuitoa Zimbabwe kwenye janga la ufukara Halafu ndio watume maneno ya kinafiki..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…