Uchaguzi 2020 ZANU-PF: Marekani achaneni na Tanzania ya Magufuli

Uchaguzi 2020 ZANU-PF: Marekani achaneni na Tanzania ya Magufuli

Trump amekoma kuondoka White house, Democratic wameanza kumuundia zengwe eti..."ameanza kuuza siri za Marekani kwa Putin, na Kim! Huko ni patashika sijuhi kama na muda wa kuiwazia Tanzania ya JPM wanao!
 
Hawa ZANU - PF, ni wapuuzi. Yaani wanataka na sisi tuwe kama wao?

Zimbabwe imesambaratika kutokana na uongoxi wa hovyo ZANU-PF. Leo Zimbabwe haina hata sarafu yake. Hakuna mwananchi anayeitaka Zim dollar kwa sababu ni karatasi lusilo na maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zimbabwe kununua mkate mpaka ubebe ROBA la hela za kwao VIKWAZO hivyo mzee, cku hizi wanatumia dola kununua mahitaji yao. Wanaona bora na Tanzania iwe kama wao wagawane mateso ya vikwazo. Maana yake wako wapweke kwa muda mrefu
Sisi tayari ni pacha wao mzuri(Kulwa na Dotto)
 
Ha
Ina maana hawakuwasiliana na mkulu wakati wanatoa kauli hiyo? Mbona yeye amewapongeza Rais na makamu wake wateule wa Marekani, iweje wazimbabwe waseme waachane naye?
Hao ni wapya na sio waliokuwapo, hata pompeo anaweza kutupwa nje na makonda akaenda marekani.
 
Urafiki wa Mashaka huu, kwa kauli hizi Zimbabwe inachochoea moto wa Vikwazo.
US Kuachana na Serikali ya CCM maana yake tufanane nao Zimbabwe.
Chochea Zimbabwe Chochoeaa!
 
Back
Top Bottom