robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Naona matatizo ya Muungano na hasa tunapokuwa na Rais kama huyu anayetokea Z'bar. alipoingia alianza ku-balance mambo; Meli nyingine itapelekwa Z'bar, kila kitu akisema pesa nyingine ipelekwe Z'bar.
Sasa hili la tozo na malengo yake tunataka kujua kama hata Z'bar kuna makato ya miamala. Kama hakuna, kwa nini makato ya bara yapelekwe Z'bar?
Sasa hili la tozo na malengo yake tunataka kujua kama hata Z'bar kuna makato ya miamala. Kama hakuna, kwa nini makato ya bara yapelekwe Z'bar?