Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Wewe uliza uambiwe!!!..hujui kwamba Zanzibar ina Bunge lake na Lina budget yakeSheria ikipitishwa na bunge la jamhuri ya muungano wa tz inatumika pandezote za muungano
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Huyu huyu aliyekua anaita waandishi wa habari mubashara kutuonyesha akipokea magawio (profits) kumbe hamna kitu au Mimi nilikua naona tofautiKula matunda ya Mwungano hayo. Magufuli alisema nchi ina hela nyingi tu. Huyu maa anadanganya watu wa Bara. She is not from this side, she doesn’t care. Miaka 15 ijayo ya upumbafu mtupu. Mwungano, we end up with morons!!
Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Fedha Z'bar 2021/22Ni kweli!
Z'bar wanadeka! Kuna wizara kadhaa siyo za muungano ambazo tuna mawaziri wa-zenj bila sababu! Tuna shida ya ajira, unakuta mtu toka zenj anaajiliwa bara lakini hakuna mtu wa bara anaajiliwa Zbar!
Hili la Makato ya miamala haifai kabisa! yaani maskini wa bara ndo anakatwa halafu pesa zitumike Zbar, tena kusimamiwa na rais mzanzibari!
Wewe uliza uambiwe!!!..hujui kwamba Zanzibar ina Bunge lake na Lina budget yake
Hujui kwamba Zanzibar wana shirika lao la simu!!..hujui kwamba Zantel ni serikali ya Zanzibar na mbia (Tigo) (Etisalat)..hujui kwamba sheria za Tozo za ushuru na mambo mengine Zanzibar inajiamulia yenyewe (Baraza la wakilishi Zanzibar)Navojua mimi mitandao yote ya simu yanatoa huduma sawa nchi nzima yaani bara mpaka visiwani huko zanzibar inaoperate kama inavooperate kule kigoma na katavi
Huu mwungano ni vitu gani? Wao wanaishi huku kibao, sisi Zanzibar hapana. Vunjeni mwungano, ni uozo mkubwa.wao wana pats kazi huku sisi jee vipi huko ZanzibarWewe uliza uambiwe!!!..hujui kwamba Zanzibar ina Bunge lake na Lina budget yake
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Raisi Samia ni Mzanzibari mkaazi,
Kwa hiyo unatenganisha Samia na watawala? Huyu ni rais hoi! Uzoefu sifuri, maono sifuri.Kabla hamjampaka SAMIA tope jiulizeni nyie Wananchi mmefanya nini kupinga maamuzi ya watawala.
Tena hizo tozo azidieshe hata Mara 3,maana we are all stupid.
Bunge lililopitisha ni Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania,linajuisha kote bara na visiwani...huo ndo ukweliBaraza la wawakilishi halikuwahi kupitisha ujinga huu! FINITO!
fahamu kwamba sio sheria zote zinazopitishwa na bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania zinafanya kazi ZanzibarBunge lililopitisha ni Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania,linajuisha kote bara na visiwani...huo ndo ukweli
Yaani Mwigulu Nchemba? Kwani hiyo Ph.D inajionesha kweli au ni kijana tu wa digrii ya kwanza bila uzoefu?Kwa hili tunataka jawabu toka kwa yule mwenye PhD ya uchumi wa Singida. Yaani tunakatwa kujiendeleza, Z'bar wanaendelezwa na kodi zetu!
Kuna haja ya kueleza maana ya Taifa. Ni Tanganyika peke yake au na Zbar? Kwa nini rais atoke ZBar, halafu tozo walipe Tanganyika peke yao?Naona matatizo ya Muungano na hasa tunapokuwa na Rais kama huyu anayetokea Zbar. alipoingia alianza ku-balance mambo; Meli nyingine itapelekwa Z'bar, kila kitu akisema pesa nyingine ipelekwe Z.bar.
Sasa hili la tozo na malengo yake tunataka kujua kama hata Z'bar kuna makato ya miamala. Kama hakuna, kwa nini makato ya bara yapelekwe Z'bar?