Uchaguzi 2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

Uchaguzi 2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

Wewe si upo bara mbona hujaonyesha huo ushujaa wako😃,nyie wapeni vichwa tu vijana wa watu,hiki si kipindi kizuri hata kidogo,ukifuata mkumbo kipindi hiki utajutia sababu hata vyombo vya ulinzi vipo kwa ajili ya kuwalinda wapenda amani,nyie wachache hamuwezi kuhatalisha usalama wa wengine.
Mimi nawapongeza hao askari kwa kuonyesha uungwana, kwa kutotumia nguvu.
Acha bange wewe, bado siku moja TUONESHANE MAKALI. Safari hii mambo yako tofauti sana kwa utawala huu wa KIDHALIMU.
 
Hata kwenye nchi zilizostaarabika, ukishamshambulia askari namna hiyo,anawajibika naye kujilinda,kinaweza kukuta kitu,vijana punguzeni mihemkonkuna maisha baada ya uchaguzi.
Haki ni lazima itamalaki, huwezi kuzuia haki kisha ubakie ukihimiza amani tu. Mambo ya namna hiyo ilikua ni zile zama giza, sio sasa rafiki.
 
UPDATES: Kwenye tukio la kuuawa watu watatu kwenye kijiji cha Kangagani, jimbo la Ole, kaskazini Pemba, mpasha habari wetu aliyeko kwenye eneo la tukio ametujulisha hivi punde taarifa za waliouawa kwamba wote walipigwa risasi wakiwa majumbani ama vibarazani:
1. Bi Asha Haji Hassan mwenye umri wa miaka 33 ameuawa wakati akitoka nyumbani kwa baba yake kwenda nyumbani kwake. Bi Asha ameacha mume na watoto sita.
2. Yussuf Shaame Muhiddin mwenye umri wa miaka 27 ameuawa wakati akiwa barazani anacheza keramu na wenzake. Hana mke wala watoto.
3. Komba Hamad Salum (maarufu Kipigi) mwenye umri wa miaka 30, naye alikuwa barazani pake wakati alipopigwa risasi na kuuawa. Ameacha mke na watoto watatu.
Kwa upande wa majeruhi, ambapo hadi sasa idadi inayofahamika ni tisa, ni hawa wafuatao:
1. Abbas Haji Nyange (miaka 27), amepigwa risasi wakati akichota maji kwenye mfereji nyumbani kwake. Utumbo umetoka nje, na kwa sasa amewahishwa Hospitali ya Vitongoji.
2. Bakari Khamis Bakari (miaka 55)
3. Mukhtar Yahya Hassan (mtoto wa miaka 16)
4. Khamis Mohammed Mmanga (miaka 40)
5. Hassan Kombo Ali (mtoto wa miaka 13)
6. Abbas Mgau Ali (miaka 22)
7. Mgau Omar Mgau (miaka 35)
8. Hamad Omar Hamad (miaka 20)
9. Ali Hamad Seif (16)
Hadi tunakwenda hewani, bado maiti zote zipo kijijini Kangagani na baadhi ya majeruhi wameshindikana kupelekwa hospitalini kwa sababu ya kutanda maaskari kwenye barabara za kuelekea Chake Chake, Vitongoji na Wete.
Hilmi Hilal kwa kushirikiana na Weyani TV itakuwa inakuletea muhtasari wa mwenendo wa mambo kama yanavyojiri na kupokelewa na dawati letu la habari.
#ZanzibarLivesMatter
#Pray4Zanzibar
Image may contain: 1 person, standing and outdoor
No photo description available.

2929

9 comments4 shares
Like

CommentShare

Hilmi Hilal

22m ·
Pemba:
Jadida Wete, wawili wajeruhiwa, mmoja kati yao kapigwa risasi ya paja anaitwa Juma kisauti na mwengine kwa jina la Utaani ni Mwaarabu huyo wamemjeruhi sana.
Sasahivi wanawafuata watu majumbani.
#ZanzibarLivesMatter .
 
Maalim amelala ndani kwake,watoto wa watu wanawarushia mawe askari wenye silaha.. Hotba zake kampeni ni shari shari,,The Hague itamhusu

Hao polisi wanaotumiwa na CCM kumweka Tajiri na bionea Husein Mwinyi wao sio watoto wa Watu??

Yaani huoni kuwa kuna dhulma kubwa inafanywa kutokana na CCM kuwa chama Dola kinachotukia rushwa na silaha kuwaweka watu wao madarakani?

Wazanzibari wengi wanawalilia watoto wao waliouawa mwaka 2001,lakini pia mashekhe wao waliowekwa gerezani bila kosa kwa miaka 6 huku familia zao zikiteseka . Hao watoto wa maskini wana jambo linaloumiza na nafsi zao hivyo wanapaswa kutendewa haki sio kupigwa risasi. Wana haki na uchungu wa kufanya wanayofanya mana wanawapigania ndugu zao wanaoteseka .

Sasa Nikuulize swali wewe na Madhalimu wote ndani ya CCM wanaowatumia Polisi kupiga watu;
Je, Polisi wanapigwa watu kwa sababu ya kumpigania nani anayeteseka na anateswa na serialli ipi?
Je,huoni kuwa polisi wanawapigania watesaji ?
Je,huoni kuwa polisi wanawapigani watu walioshiba na ambao hawajawahi kuishi kwa shida yoyote na hata wakikosa kura hawatapata shida yoyote?

Hivi huoni hata shetani anatucheka kama tutawaambia polisi waue watu wanaopinga kura zao kuhujumiwa kwa sababu ya kutaka kumpa Ikulu Husein Mwinyi mtu ambaye hajui shida yoyote duniani ?
Yani polisi aue mtu kwa sababu ya Raha za Husein Mwinyi. Huyo Polisi atakua ni mtumwa wa dhambi duniani na mbinguni .
Hivi waafrika kwa nini hatujui kupambanua jema na baya ,Haki na dhulma , uhuru na utumwa ,halali na haramu ?

Ndio maana hata maendeleo ya kiteknolojia kwa waafrika ni ndoto mana hawajui jamboa bora zaidi na kulipa nafasi mpaya .Wenzetu wangeridhila na simu ya nokia ya kitochi (Kama CCM ) mpaka leo tungekua hatuna smart phone( Upizani). Tubadilike ,sisi wote ni ninadamu na watanzania hakuna haja ya kuwalazimisha Polisi waondoe thamani ya wengiine kwa sababu ya wale wenye fedha na madaraka na wanadhani nchi hii ni kampuni lao la kuwaingizia kipato na familia zao .
 
Mkuu hakuna jeshi linaloweza kuishinda nguvu ya UMMA , halijawahi kutokea mahali popote pale duniani. Raia wakisema sasa basi si risasi mabomu na maji ya pilipili yatakayozuia dhumuni lao la kupambana na uonevu.
Wachochezi kwenye ubora wenu. Na vichwa vyenu vilivyojaa makamasi. Hivi mnadhani hii nchi ikiingia kwenye machafuko atakaepona ni nani? Kampeni kila chama kimefanya kwa amani kabisa licha ya chokochoko zilizokua zinafanywa lakini vyombo vya usalama vilisimama imara na vilikua na uvumilivu kupita kiasi. Sasa imefika wakati wa wananchi kuamua, mnaanza kutafuta namna kuchochea vurugu, kuleta uzushi kwasbb mnajua wazi hamuwezi kushinda.
 
Haki ni lazima itamalaki, huwezi kuzuia haki kisha ubakie ukihimiza amani tu. Mambo ya namna hiyo ilikua ni zile zama giza, sio sasa rafiki.
Kuitafuta haki kwa kuvunja sheria na taratibu za nchi sio sawa kwani wapo wataoathirika na hizo vurugu.
 
UPDATES: Kwenye tukio la kuuawa watu watatu kwenye kijiji cha Kangagani, jimbo la Ole, kaskazini Pemba, mpasha habari wetu aliyeko kwenye eneo la tukio ametujulisha hivi punde taarifa za waliouawa kwamba wote walipigwa risasi wakiwa majumbani ama vibarazani:
1. Bi Asha Haji Hassan mwenye umri wa miaka 33 ameuawa wakati akitoka nyumbani kwa baba yake kwenda nyumbani kwake. Bi Asha ameacha mume na watoto sita.
2. Yussuf Shaame Muhiddin mwenye umri wa miaka 27 ameuawa wakati akiwa barazani anacheza keramu na wenzake. Hana mke wala watoto.
3. Komba Hamad Salum (maarufu Kipigi) mwenye umri wa miaka 30, naye alikuwa barazani pake wakati alipopigwa risasi na kuuawa. Ameacha mke na watoto watatu.
Kwa upande wa majeruhi, ambapo hadi sasa idadi inayofahamika ni tisa, ni hawa wafuatao:
1. Abbas Haji Nyange (miaka 27), amepigwa risasi wakati akichota maji kwenye mfereji nyumbani kwake. Utumbo umetoka nje, na kwa sasa amewahishwa Hospitali ya Vitongoji.
2. Bakari Khamis Bakari (miaka 55)
3. Mukhtar Yahya Hassan (mtoto wa miaka 16)
4. Khamis Mohammed Mmanga (miaka 40)
5. Hassan Kombo Ali (mtoto wa miaka 13)
6. Abbas Mgau Ali (miaka 22)
7. Mgau Omar Mgau (miaka 35)
8. Hamad Omar Hamad (miaka 20)
9. Ali Hamad Seif (16)
Hadi tunakwenda hewani, bado maiti zote zipo kijijini Kangagani na baadhi ya majeruhi wameshindikana kupelekwa hospitalini kwa sababu ya kutanda maaskari kwenye barabara za kuelekea Chake Chake, Vitongoji na Wete.
Hilmi Hilal kwa kushirikiana na Weyani TV itakuwa inakuletea muhtasari wa mwenendo wa mambo kama yanavyojiri na kupokelewa na dawati letu la habari.
#ZanzibarLivesMatter
#Pray4Zanzibar
Image may contain: 1 person, standing and outdoor
No photo description available.

2929

9 comments4 shares
Like
CommentShare

Hilmi Hilal

22m ·
Pemba:
Jadida Wete, wawili wajeruhiwa, mmoja kati yao kapigwa risasi ya paja anaitwa Juma kisauti na mwengine kwa jina la Utaani ni Mwaarabu huyo wamemjeruhi sana.
Sasahivi wanawafuata watu majumbani.
#ZanzibarLivesMatter .
Nonsense😎
 
Wapenda mabadiliko wakati wa kufikiria nje ya boksi umefika. CCM haitaondolewa kwa kura inayosimamiwa na NECCM, majeshi, msajili wa vyama... Tuamke. Njia za kamikaze zianze kutumika. Waarabu wana zijua sana kamikaze. Nashangaa Wapemba wanaojiita Waarabu hawatumii kamikaze! Vinginevyo hakuna mabadiliko.

Mandele alikuwa mpenda mabadiliko ya amani. Iliposhindikana, alitumia njia mbadala.
 
Back
Top Bottom