Acha bange wewe, bado siku moja TUONESHANE MAKALI. Safari hii mambo yako tofauti sana kwa utawala huu wa KIDHALIMU.Wewe si upo bara mbona hujaonyesha huo ushujaa wako😃,nyie wapeni vichwa tu vijana wa watu,hiki si kipindi kizuri hata kidogo,ukifuata mkumbo kipindi hiki utajutia sababu hata vyombo vya ulinzi vipo kwa ajili ya kuwalinda wapenda amani,nyie wachache hamuwezi kuhatalisha usalama wa wengine.
Mimi nawapongeza hao askari kwa kuonyesha uungwana, kwa kutotumia nguvu.
Haki ni lazima itamalaki, huwezi kuzuia haki kisha ubakie ukihimiza amani tu. Mambo ya namna hiyo ilikua ni zile zama giza, sio sasa rafiki.Hata kwenye nchi zilizostaarabika, ukishamshambulia askari namna hiyo,anawajibika naye kujilinda,kinaweza kukuta kitu,vijana punguzeni mihemkonkuna maisha baada ya uchaguzi.
Maalim amelala ndani kwake,watoto wa watu wanawarushia mawe askari wenye silaha.. Hotba zake kampeni ni shari shari,,The Hague itamhusu
Thubutu!Wakishafungua kila kitu kitawekwa wazi na huo inawezekana ikawa ndio mwanzo wa CIVIL WAR .... Hata kwa Gadaffi yalianzia kama hivyo lakini mwisho hata Jeshi lilishindwa
Thubutu kitu gani? Hebu nyoosha maneno kama vile una haki ya kusikilizwa.Thubutu!
Wachochezi kwenye ubora wenu. Na vichwa vyenu vilivyojaa makamasi. Hivi mnadhani hii nchi ikiingia kwenye machafuko atakaepona ni nani? Kampeni kila chama kimefanya kwa amani kabisa licha ya chokochoko zilizokua zinafanywa lakini vyombo vya usalama vilisimama imara na vilikua na uvumilivu kupita kiasi. Sasa imefika wakati wa wananchi kuamua, mnaanza kutafuta namna kuchochea vurugu, kuleta uzushi kwasbb mnajua wazi hamuwezi kushinda.Mkuu hakuna jeshi linaloweza kuishinda nguvu ya UMMA , halijawahi kutokea mahali popote pale duniani. Raia wakisema sasa basi si risasi mabomu na maji ya pilipili yatakayozuia dhumuni lao la kupambana na uonevu.
Kuitafuta haki kwa kuvunja sheria na taratibu za nchi sio sawa kwani wapo wataoathirika na hizo vurugu.Haki ni lazima itamalaki, huwezi kuzuia haki kisha ubakie ukihimiza amani tu. Mambo ya namna hiyo ilikua ni zile zama giza, sio sasa rafiki.
Nonsense😎UPDATES: Kwenye tukio la kuuawa watu watatu kwenye kijiji cha Kangagani, jimbo la Ole, kaskazini Pemba, mpasha habari wetu aliyeko kwenye eneo la tukio ametujulisha hivi punde taarifa za waliouawa kwamba wote walipigwa risasi wakiwa majumbani ama vibarazani:
1. Bi Asha Haji Hassan mwenye umri wa miaka 33 ameuawa wakati akitoka nyumbani kwa baba yake kwenda nyumbani kwake. Bi Asha ameacha mume na watoto sita.
2. Yussuf Shaame Muhiddin mwenye umri wa miaka 27 ameuawa wakati akiwa barazani anacheza keramu na wenzake. Hana mke wala watoto.
3. Komba Hamad Salum (maarufu Kipigi) mwenye umri wa miaka 30, naye alikuwa barazani pake wakati alipopigwa risasi na kuuawa. Ameacha mke na watoto watatu.
Kwa upande wa majeruhi, ambapo hadi sasa idadi inayofahamika ni tisa, ni hawa wafuatao:
1. Abbas Haji Nyange (miaka 27), amepigwa risasi wakati akichota maji kwenye mfereji nyumbani kwake. Utumbo umetoka nje, na kwa sasa amewahishwa Hospitali ya Vitongoji.
2. Bakari Khamis Bakari (miaka 55)
3. Mukhtar Yahya Hassan (mtoto wa miaka 16)
4. Khamis Mohammed Mmanga (miaka 40)
5. Hassan Kombo Ali (mtoto wa miaka 13)
6. Abbas Mgau Ali (miaka 22)
7. Mgau Omar Mgau (miaka 35)
8. Hamad Omar Hamad (miaka 20)
9. Ali Hamad Seif (16)
Hadi tunakwenda hewani, bado maiti zote zipo kijijini Kangagani na baadhi ya majeruhi wameshindikana kupelekwa hospitalini kwa sababu ya kutanda maaskari kwenye barabara za kuelekea Chake Chake, Vitongoji na Wete.
Hilmi Hilal kwa kushirikiana na Weyani TV itakuwa inakuletea muhtasari wa mwenendo wa mambo kama yanavyojiri na kupokelewa na dawati letu la habari.
#ZanzibarLivesMatter
#Pray4Zanzibar
2929
9 comments4 shares
Like
CommentShare
Hilmi Hilal
22m ·
Pemba:
Jadida Wete, wawili wajeruhiwa, mmoja kati yao kapigwa risasi ya paja anaitwa Juma kisauti na mwengine kwa jina la Utaani ni Mwaarabu huyo wamemjeruhi sana.
Sasahivi wanawafuata watu majumbani.
#ZanzibarLivesMatter .