Sasa ulitaka waachiliwe na hali pametokea mauwaji.Wameona aibu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ulitaka waachiliwe na hali pametokea mauwaji.Wameona aibu!!
Usikute watu wengi wa namma hiyó wataendelea kuuliza kutokana na itikadi zao ma serikali utakuwa inaigiza kuwakamata hivyohivyo huku ikiwahamisha miji wauaji.Kwa nini unataja nafasi yake ya kisiasa ktk taarifa ya maafa kama haya! Je, mauaji yake ni ya kisiasa? Kama ni ya kisiasa, maafisa misitu wanahusikaje? Kama siyo ya kisiasa, inatosha kuandika jina lake tu maana naamini alikuwa anayo kazi nyingine ya kuendesha maisha yake.
Kwani polisi walikuwepo ?walitaka kuwazuia polisi na maofisa hao kutoondoka na gari walilokuwa wamepanda.