Zanzibar: Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani

Tunaweza kuisikiliza wapi hotuba yake ?? Unaweza kutuwekea link
 
CHADEMA mmegharibu kitambo Zanzibar, kashughudieni athari ya matusi yenu kwa Mhe. Samia. Mlishapoteza umaarufu na uungwaji mkono kwa ZNZ. Mara mlipopewa nafasi mlihitajika kufanya siasa za uungwana badala ya mitusi na kushutumu iman za watu.
 
Kwani Samia anapendwa Zanzibar ? Ubunge wa Kikwajuni aliangukia pua kwenye kura za maoni tu , kaapa hatorudia tena .
 
Chadema mnahitaji uongozi mpya wenye hasira na maisha. Mpo too comfortable hadi Samia anaita Katiba ni kajitabu tu.
Jaji ndiye katukanwa,pamoja na kuwa ni watanzania wote, naye kajitukana kwani ni hiyo katiba anayoidharau ndiyo iliyomuingiza madarakani bila kupigiwa kura na watanzania.
Chadema katika hilo hawahusiki.
 
Chadema mnahitaji uongozi mpya wenye hasira na maisha. Mpo too comfortable hadi Samia anaita Katiba ni kajitabu tu.
Sasa ni nini Mkuu ni fisi au Simba?
Katiba ni kitabu,kijitabu au Tabu kulingana na ukubwa wake
 
Mwamba hapoi
 
Mungu ibariki CHADEMA[emoji173][emoji173][emoji173]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi yule mkuu wa zambarau ameanza kuchuja au?
 
Jambo jema kuwahi kutokea Tanzania wazee wetu kuhutubiwa kitaifa na mchango wao ktk ujenzi wa taifa.

WAZEE TUNAWAFIKIA NINYI NYOTE KUPITIA CHADEMA SIKU YA LEO

LIVE: ZANZIBAR, MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI MGENI RASMI MH. FREEMAN MBOWE MWENYEKITI TAIFA WA CHADEMA …

View: https://m.youtube.com/watch?v=HVw7QkcpaZo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…