Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda amesilimu kimya kimya shahidi ni yeyeYaani wee jamaa wewe eti Ustadh Abubakar Mbowe wakati mbowe ni mgalatia! Mweee!
Karibu sanaYaani wee jamaa wewe eti Ustadh Abubakar Mbowe wakati mbowe ni mgalatia! Mweee!
Ikiwa leo ni siku ya Wazee ya Kidunia ,, Kitaifa jambo hilo linawakilishwa na Wazee wa Chadema (BAZECHA) , hii ni baada ya Wazee wa vyama vingine kugeuka Chawa wa Watawala , na linafanyika Zanzibar , Tayari Mwamba wa Siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe amewasili Zanzibar kwa ajili ya Jambo hilo , ambako amepangiwa kuhutubia Taifa .
Hivi ndivyo alivyopokelewa kwa kishindo .
View attachment 2768383View attachment 2768384View attachment 2768385View attachment 2768386View attachment 2768387
wewe mtoa mada na mboe wote viazi mbatataMuulize mmeo kwanza
Kwani Samia anapendwa Zanzibar ? Ubunge wa Kikwajuni aliangukia pua kwenye kura za maoni tu , kaapa hatorudia tena .CHADEMA mmegharibu kitambo Zanzibar, kashughudieni athari ya matusi yenu kwa Mhe. Samia. Mlishapoteza umaarufu na uungwaji mkono kwa ZNZ. Mara mlipopewa nafasi mlihitajika kufanya siasa za uungwana badala ya mitusi na kushutumu iman za watu.
Chadema mnahitaji uongozi mpya wenye hasira na maisha. Mpo too comfortable hadi Samia anaita Katiba ni kajitabu tu.
Jaji ndiye katukanwa,pamoja na kuwa ni watanzania wote, naye kajitukana kwani ni hiyo katiba anayoidharau ndiyo iliyomuingiza madarakani bila kupigiwa kura na watanzania.Chadema mnahitaji uongozi mpya wenye hasira na maisha. Mpo too comfortable hadi Samia anaita Katiba ni kajitabu tu.
Sasa ni nini Mkuu ni fisi au Simba?Chadema mnahitaji uongozi mpya wenye hasira na maisha. Mpo too comfortable hadi Samia anaita Katiba ni kajitabu tu.
Mwamba hapoiIkiwa leo ni siku ya Wazee ya Kidunia ,, Kitaifa jambo hilo linawakilishwa na Wazee wa Chadema (BAZECHA) , hii ni baada ya Wazee wa vyama vingine kugeuka Chawa wa Watawala , na linafanyika Zanzibar , Tayari Mwamba wa Siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe amewasili Zanzibar kwa ajili ya Jambo hilo , ambako amepangiwa kuhutubia Taifa .
Hivi ndivyo alivyopokelewa kwa kishindo .
View attachment 2768383View attachment 2768384View attachment 2768385View attachment 2768386View attachment 2768387
Mungu ibariki CHADEMA[emoji173][emoji173][emoji173]Ikiwa leo ni siku ya Wazee ya Kidunia ,, Kitaifa jambo hilo linawakilishwa na Wazee wa Chadema (BAZECHA) , hii ni baada ya Wazee wa vyama vingine kugeuka Chawa wa Watawala , na linafanyika Zanzibar , Tayari Mwamba wa Siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe amewasili Zanzibar kwa ajili ya Jambo hilo , ambako amepangiwa kuhutubia Taifa .
Hivi ndivyo alivyopokelewa kwa kishindo .
View attachment 2768383View attachment 2768384View attachment 2768385View attachment 2768386View attachment 2768387
Vipi yule mkuu wa zambarau ameanza kuchuja au?Ikiwa leo ni siku ya Wazee ya Kidunia ,, Kitaifa jambo hilo linawakilishwa na Wazee wa Chadema (BAZECHA) , hii ni baada ya Wazee wa vyama vingine kugeuka Chawa wa Watawala , na linafanyika Zanzibar , Tayari Mwamba wa Siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe amewasili Zanzibar kwa ajili ya Jambo hilo , ambako amepangiwa kuhutubia Taifa .
Hivi ndivyo alivyopokelewa kwa kishindo .
View attachment 2768383View attachment 2768384View attachment 2768385View attachment 2768386View attachment 2768387
Amina
Sijui uelewa wako mdogo au unanipoteza muda.Sasa ni nini Mkuu ni fisi au Simba?
Katiba ni kitabu,kijitabu au Tabu kulingana na ukubwa wake
Jifunze kuandika majina ya watu ukianza na Herufi husika pia ujue linaandikwaje!mboe niraisi wanchi Gani Hadi ahutubie taifa mkuu?
mboe mlevi wakonyagiJifunze kuandika majina ya watu ukianza na Herufi husika pia ujue linaandikwaje!
mboe - Mbowe!!