Msiombe Magaid wabeba silaha kuingia Tanzania,kwanza ulisikia wapi hao magaidi wamepigana vita wakashinda ? wapi ?
Isipokuwa itakuwa umewahi kusikia wapi wamesababisha hasara,namna ya upiganaji wao,wanajeshi wabobezi wataelewa nazungumza kitu gani,hapa sio hawa wanaobebeshwa silaha wakajazwa kwenye difender kama manamba kwenda kupiga wananchi wasio na hatia.
Nazingumzia wanajeshi wenye uelewa na mambo ya kivita. magaidiawe alshababu au wale sandinista ,kwana wana mafunzo ya kijeshi ikiwemo kujilipuwa,pili wana stadi eneo hata kwa miaka mingi pengine mitatu mitano au zaidi na kwa muda huo wameshawachunguza na kujua mwenendo wenu wote nje ndani.
Sasa wanapoamua kuingia kimapambano ujue watapiga vibaya sana na kusababisha hasara na vifo hawa wanaotutesa na vidifender vyao hawa kwenye michezo ya kijapani huitwa kumi shilingi,wala sio tishio kabisa kabisa,mtu mmoja tu anawamaliza wote walio kwenye difender,wacha watutese sisi kwa sababu hatujui kukamata hata panga.
Baada ya ile miaka ya kuisoma tabia nchi ya movement za kijeshi,yaani hawa jamaa wanajua mpaka mida wananjeshi wa nchi wanapofanya mazoezi,wanapolala wanapolewa ni ujasusi rahisi sana kuufanya kwenye nchi iliyotulia kama yetu.
Bana hawa hutumia aina ya kupigana kivita kwa kuvamia sio kama alivyovyotuvamia Idi Amini,hawa kwa luga ya kigeni naitwaa ambush ni hatari na ndio maana hujawasikia kupigana wakashinda,tunaona wanavyofanya hujuma Kenya na Somalia Nigeria na kwengineko,wakiingia watatuumiza sana wala tusijidangaje kuwa tutawashinda,halafu jamaa ndio hawachoki,isipokuwa hurudi wakajipanga.
CCM msitupeleke na kusababisha hawa watu kupata sababu ya kuingia Tanzania ,alafu awachagui wakati wakivamia na kuambush target yao atakaewakalia mbele halali yao.
Fuatilieni visa vyao vinasomeka kwenye mitandano ,ufilipino wapo ,Srilanka wapo achana na hizi nchi za kwetu, Mpaka India wapo.
CCM bwageni manyanga wala msidanganye kuwa tumevamiwa tuna ndugu na jamaa Mtwara hawajasikia hilo,mnataka kutuhamisha tuachane na mambo ya kuwaondoa.
Mwaka huu haondoshwi mtu kwenye lelii mnaondoka mnaangushwa mkitaka msitake,miyaka 56 imetosha ,yaani mmekaa mpaka sasa mnarithishana kwamba wananchi wengine hawafai.