Ulweso JF-Expert Member Joined May 24, 2016 Posts 23,111 Reaction score 28,020 Oct 18, 2020 #61 CCM na ACT mnaanza kupigana kisha mabomu ya polisi yanawarudia nyote hii shida, mji wenyewe mdogo na wote mnafahamiana duu!!! Poleni sana huko kwa siasa za kibongo!
CCM na ACT mnaanza kupigana kisha mabomu ya polisi yanawarudia nyote hii shida, mji wenyewe mdogo na wote mnafahamiana duu!!! Poleni sana huko kwa siasa za kibongo!