figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Taarifa zilizotufikia muda huu ni kwamba Hotel 5 zilizopo Jambiani Zanzibar zinateketea kwa moto. Chanzo cha moto huo hakijafahamika na kwamba hoteli zilizoathirika ni pamoja na Villa de Coco, Sharazad, Spice island, Fun Beach na Cobe.
Chanzo: TSN
Chanzo: TSN