simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Sielewi hoteli tano kuungua kwa mpigo- zimepakana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁😁😁Hapo Bima inatafutwa ama masharti ya mganga.
Imagine polisi wa Tabora wanaweza kujua mtu anayetaka kujinyonga lakini polisi wa zanzibar hawawezi kumgundua mtu anayetaka kuchoma moto maliMshafanya uchunguzi tayari sio? Polisi wenu hawakua na taarifa? Intelijensia yenu haikuwadaka
Hahahaaha kuna wale wengine waliwaombea marehemu wapone haraka waweze kurejea kwenye majukumu yaoImagine polisi wa Tabora wanaweza kujua mtu anayetaka kujinyonga lakini polisi wa zanzibar hawawezi kumgundua mtu anayetaka kuchoma moto mali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumebaki na vichekesho tupu huko. Ile intelligence iliyokuwepo enzi za nyerere hadi Mkapa haipo kabisa. Sasahv tunajiendea tuHahahaaha kuna wale wengine waliwaombea marehemu wapone haraka waweze kurejea kwenye majukumu yao
Adui yao siku hizi sio maradhi na umaskini tena, ni Upinzani! Taifa la wajinga kabisa kupata kutokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumebaki na vichekesho tupu huko. Ile intelligence iliyokuwepo enzi za nyerere hadi Mkapa haipo kabisa. Sasahv tunajiendea tu
Na wanaona sifa kusifiana hadi kwenye ujinga. Angalau kikwete alijitahidi kidoooooogo enzi zake.lakini huyu wa sasa ndio kabisa. Wanajazana makada wa ccm kwenye taaaisi nyeti ambazo zinahitaji kutumia akili na sio hisiaAdui yao siku hizi sio maradhi na umaskini tena, ni Upinzani! Taifa la wajinga kabisa kupata kutokea
Umesahau safari ya Zambia kumuapisha Rais? Alienda hadi na Mwenyekiti wa CCM Tanga, imagineNa wanaona sifa kusifiana hadi kwenye ujinga. Angalau kikwete alijitahidi kidoooooogo enzi zake.lakini huyu wa sasa ndio kabisa. Wanajazana makada wa ccm kwenye taaaisi nyeti ambazo zinahitaji kutumia akili na sio hisia
Hili wimbi la moto sasa naona litupiwe jicho la tatu haswaa maana naona kama kuna kitu zaidi ya moto.Taarifa zilizotufikia muda huu ni kwamba Hotel 5 zilizopo Jambiani Zanzibar zinateketea kwa moto. Chanzo cha moto huo hakijafahamika na kwamba hoteli zilizoathirika ni pamoja na Villa de Coco, Sharazad, Spice island, Fun Beach na Cobe.
Chanzo: TSN
View attachment 2016727View attachment 2016729View attachment 2016730
View attachment 2016740
Kwangu naona moto unao teketeza vibanda vya wamachinga na masoko kadhaa ndio upo kimkakati zaidi.Duuh jinamizi hilo...kuna watu walikua wanahujumi wenzao kwa moto kisiasa naona sasa pepo la moto linasambaa
Hapo bima au kama yalikuwa kwenye hifadhi ya barabara ndiyo mwanzo wa uhamishoHapo Bima inatafutwa ama masharti ya mganga.
Kuna adui "dhuluma" hatajwi kabisa.Adui yao siku hizi sio maradhi na umaskini tena, ni Upinzani! Taifa la wajinga kabisa kupata kutokea
Ccm ni chanzo cha yote hayaKuna adui "dhuluma" hatajwi kabisa.
=====
Poleni sana wahanga wa janga hili la moto.
Bima ipoHasara ilioje hiyo....daah it's terrible.....