Zanzibar imefika huku! Kunani?

Zanzibar imefika huku! Kunani?

Chama cha soka Zanzibar kimemteua Rahma Abdalla Munir kuwa mchuwa Mapaja wa timu ya wanaume yaani Zanzibar heros

Taarifa iliotolewa imesisitiza na Chama hicho kwamba Rahma Abdalla Munir atakuwa ndio mchuwa mapaja wachezaji wa kiume, hii ni haki?

Hakuna madokta wanaume?

Hii inafundisha nini?

Hata Tanzania Bara penye waumini wa dini ni mchanganyiko hii haijawahi kutokea hivi.
Yaani PBZ licha ya kuwa masheikh wakubwa ndani yake wanasupport hii?

"Wala Mayahudi hawataridhika nawe wala Manasara mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika mwongozo wa Allah ndio mwongozo. Na ukifuata matamanio yao baada ya yale uliyofunuliwa huna mlinzi wala msaidizi mbele ya Allah."
Unaleta udini
We ukienda hospitali utadai utibiwe na mwanaume au mwanamke?
 
Paja la bacca linasuguliwa mpaka anakuwa makodinda makostamina
 
Zanzibar kiswahili wanakielewa sidhani kama watakuwa wamekosea pengine hilo neno Lina maana nyingi wataalam wa kiswahili tunaomba ufafanuzi.

Neno tanzia lina tafsiri moja tu, nayo ni kuhusiana na msiba/kifo...

tanzia

1. taarifa ya kifo inayotangazwa ili iwafikie watu walio mbali

2. tukio linaloweza kuleta maafa au msiba

#KamusiYaKiswahili #KiswahiliKitukuzwe
 
Huyu hapa
 
Attachments

  • Dr._Rahma.JPG
    Dr._Rahma.JPG
    118.1 KB · Views: 3
Chama cha soka Zanzibar kimemteua Rahma Abdalla Munir kuwa mchuwa Mapaja wa timu ya wanaume yaani Zanzibar heros

Taarifa iliotolewa imesisitiza na Chama hicho kwamba Rahma Abdalla Munir atakuwa ndio mchuwa mapaja wachezaji wa kiume, hii ni haki?

Hakuna madokta wanaume?

Hii inafundisha nini?

Hata Tanzania Bara penye waumini wa dini ni mchanganyiko hii haijawahi kutokea hivi.
Yaani PBZ licha ya kuwa masheikh wakubwa ndani yake wanasupport hii?

"Wala Mayahudi hawataridhika nawe wala Manasara mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika mwongozo wa Allah ndio mwongozo. Na ukifuata matamanio yao baada ya yale uliyofunuliwa huna mlinzi wala msaidizi mbele ya Allah."
Muda mwingine wanaosema kuwa muislamu ni kuwa taahira wapo sahihi kwa kiasi fulani...sasa uteuzi wa huyo mwanamke umefanywa na wayahudi na hao wakristo?
 
Kwani shida iko wapi we mleta uzi ? Hii ni kazi ya kitaalamu na huyo Bi Rahma ni professional kwanini asifanye hiyo kazi ?

Watanzania tuna akili na mawazo ya ajabu sana, kwani mbona ukienda Hospital unahudumiwa na Doctor au Nesi Mwanamke ? Punguzeni ushamba na uzuzu wa kiboya.
Hao si waTz bwanshee.
 
Mimi ningekua mchezaji ningetaka kuchuliwa misuli na mwanamke.

Yaani niende leo massage spa halafu nichague mwanaume anifanyie massage?

Mleta uzi una akili?
 
Mimi ningekua mchezaji ningetaka kuchuliwa misuli na mwanamke.

Yaani niende leo massage spa halafu nichague mwanaume anifanyie massage?

Mleta uzi una akili?
Muislam harusiwi kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom