Ngoja nimwite mzee Pinda aje hapaZanzibar ni nchi
ni kweli, ikiwemo kuwapa chaguo la NEC Bara! 129 Vs 33 . Ilikuwa zamu ya Vuai, kwa bahati mbaya hajatoka koo za Urais. Zipo mbiliTanganyika tunaihitaji Zanzibar kuliko Zanzibar inavyoihitaji Tanganyika..
Hatuna jinsi inabidi tuwape wa Zanzibar nafasi ya kula cake ya taifa sana.. ili wasiupinge Muungano
Pia kumbuka Zanzibar sio mkoa ama wilaya kama Kinondoni na Temeke, Zanzibar ni taifa kamili ambalo lina Rais wake na lina native land yake...lazima tuwape nafasi nyingi maana bila Zanzibar hakuna Tanzania.. ila bila Temeke ama Kinondoni Tanzania bado inakuwepo
Wanaogopa ACT inatoa KUB kupitia kura chahche za ZNZ.
Nimeshtushwa na idadi ya wabunge 75 kuwakilisha wakazi wasiofika million huko Zanzibar wakazi wanaozidiwa na mbunge mmoja tu Arusha,Temeke,Ubungo,Mbeya mjini, Kigoma mjini nk ikiwa ni sawa na uwakilishi wa mbunge kwa wakazi 106669 huku ni kuchezea pesa wa walipa kodi.
Kinachoumiza zaidi ni vyama vya siasa vimeweka viwango vya mabilion kufanya kampain eneo ambalo hata mguu au baiskeli unafika hapa naona kunavichwa haviko sawa kabisa hapa ilifaa kuwa na wabunge watano au watatu .
Kuna haja ZEC kuwa makini na uchezeaji wa pesa huu
USSR
Hili swali ni sawa na kuuliza Comoro kuna wabunge wangapi ? Zanzibar ni nchi yenye mipaka na raisi wake ambae anaamua kugawa majimbo, sijuwi nini kinachokusumbua. Kama ni fedha Zanzibar inachangia, kama ni mzigo tugawane mbawa yaishe!Nimeshtushwa na idadi ya wabunge 75 kuwakilisha wakazi wasiofika million huko Zanzibar wakazi wanaozidiwa na mbunge mmoja tu Arusha,Temeke,Ubungo,Mbeya mjini, Kigoma mjini nk ikiwa ni sawa na uwakilishi wa mbunge kwa wakazi 106669 huku ni kuchezea pesa wa walipa kodi.
Kinachoumiza zaidi ni vyama vya siasa vimeweka viwango vya mabilion kufanya kampain eneo ambalo hata mguu au baiskeli unafika hapa naona kunavichwa haviko sawa kabisa hapa ilifaa kuwa na wabunge watano au watatu .
Kuna haja ZEC kuwa makini na uchezeaji wa pesa huu
USSR
Mimi kinachonikera wazanzibar ni kama wake wenza yaani kutwa kulalamika japo naumia kuipoteza Tanzania lakini wanakera sana hao watuhakuna kitu kinanikera na kunichefua kama Muungano na Zanzibar.
kama kuna kitu namlaani Nyerere mpaka kufa ni kutumezesha li-muungano na Zanzibar
Nyerere alituuza wazima wazima kwa kutaka sifa za kuwa unifying agent wa Waafrika...