You have tons to lose!
Hauko mkweli.
Ukisema umepoteza identity yako ya Uzanzibari, na kwamba ina thamani kuliko chochote mnachopata Tanganyika ntakuelewa na nakubali, hapo mmepoteza. Lakini ukijifanya huoni namna Zanzibar inavyofaidika na upendeleo wa Muungano unakuwa unasema uongo!
Wazanzibar wanakula pesa ya Watanganyika bure bure, wamejaa nchini kwetu wanafanya biashara, wabunge 75 wa Zanzibar wanatu cost mabilioni na mabilioni, umeme tunawagawia bure, nafasi za masomo, za ubalozi, na mambo mengine kibaaao, Wazanzibari wanapeteshwa kupita maelezo.