Zanzibar 2020 Zanzibar ina wakazi laki 8, wabunge 75 wa nini?

Zanzibar 2020 Zanzibar ina wakazi laki 8, wabunge 75 wa nini?

hakuna kitu kinanikera na kunichefua kama Muungano na Zanzibar.

kama kuna kitu namlaani Nyerere mpaka kufa ni kutumezesha li-muungano na Zanzibar

Nyerere alituuza wazima wazima kwa kutaka sifa za kuwa unifying agent wa Waafrika...

Hakuna anaekerwa zaidi na muungano kama wazanzibari. Jitathamini upya, sie ni watu wenye utamaduni na utambulisho wetu ambao tunajivunia kuitwa wazanzibari. Leo tumevishwa vilemba vya kitanzania, wee acha mazee. Vunjeni tuu, go ahead we got nothing to loose here.
 
Bahati nzuri mambo haya yote yanafanywa na serikali yako sikivu ya CCM! Kakumbushaneni huku sisi tumekaa kimya tu tunaisikiliza serikali sikitu sorry sikivu.
Jambo likifanywa na ccm inaonekana ccm ni tatizo ila ikitokea jambo hilo hilo kufanywa na chama pinzani utaambiwa mbona ccm anafanya/alifanya.
 
Tanganyika tunaihitaji Zanzibar kuliko Zanzibar inavyoihitaji Tanganyika..

Hatuna jinsi inabidi tuwape wa Zanzibar nafasi ya kula cake ya taifa sana.. ili wasiupinge Muungano

Pia kumbuka Zanzibar sio mkoa ama wilaya kama Kinondoni na Temeke, Zanzibar ni taifa kamili ambalo lina Rais wake na lina native land yake...lazima tuwape nafasi nyingi maana bila Zanzibar hakuna Tanzania.. ila bila Temeke ama Kinondoni Tanzania bado inakuwepo
Mtu akiwa masikini au dhaifu inabidi umpambe pambe ili nae ajisikie vizuri. Kadhalika mzazi hawezi kumuacha mwanaye ilihali anajua hajafika umri wa kujitegemea atakae chekwa ni mzazi sio mtoto.
 
Nimeshtushwa na idadi ya wabunge 75 kuwakilisha wakazi wasiofika million huko Zanzibar wakazi wanaozidiwa na mbunge mmoja tu Arusha,Temeke,Ubungo,Mbeya mjini, Kigoma mjini nk ikiwa ni sawa na uwakilishi wa mbunge kwa wakazi 106669 huku ni kuchezea pesa wa walipa kodi.

Kinachoumiza zaidi ni vyama vya siasa vimeweka viwango vya mabilion kufanya kampain eneo ambalo hata mguu au baiskeli unafika hapa naona kunavichwa haviko sawa kabisa hapa ilifaa kuwa na wabunge watano au watatu .

Kuna haja ZEC kuwa makini na uchezeaji wa pesa huu

USSR
Kama unaona hasara wabunge 50 basi wa majimbo basi vunja Muungano, maana sisi ni Nchi kamili tulioungana,na Nchi ya Tanganyika.
Soma hapa kwenye Katiba ya ZNZ
  • _________________________K__a_ti_b_a_ y_a_ _Z_a_n_z_i_b_a_r_ y_a_ _1_9_8_4_________________________​
  • SURA YA KWANZA​
  • ZANZIBAR​
  • Sehemu ya Kwanza​
  • Zanzibar​
  • 1. Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la​
  • Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka​
  • na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na​
  • Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.​
  • 2. Zanzibar ni miongoni mwa Nchi mbili zinazounda Jamhuri ya​
  • Muungano wa Tanzania.​
  • 2A. Kwa ajili ya utekelezaji bora wa shughuli za Serikali, Rais​
  • aweza kuigawa Zanzibar katika Mikoa, Wilaya na maeneo mengineyo​
  • kwa kufuata utaratibu uliowekwa na sheria iliyotungwa na Baraza la​
  • Wawakilishi.​
 
hakuna kitu kinanikera na kunichefua kama Muungano na Zanzibar.

kama kuna kitu namlaani Nyerere mpaka kufa ni kutumezesha li-muungano na Zanzibar

Nyerere alituuza wazima wazima kwa kutaka sifa za kuwa unifying agent wa Waafrika...
Ni hasara kubwa sana kwa Tanzania kuacha Zanzibar iwe nje ya Muungano.

Hata kama Zanzibar wataongozwa na serikali ya ACT wazalendo kuwaruhusu Zanzibar watoke kwenye Muungano ni uhaini kwa nchi.

Ndiyo maana sisi CHADEMA hata siku moja hatutaruhusu Muungano uvunjike ila tuko tayari kutatua changamoto za Muungano zitakazojitokeza.
 
SUALA LA KUSEMA ZANZIBAR INA WAKAAZI LAKI 8 SIO KWELI NA NIUPOTOSHAJI WA KIWANGO CHA WAZI KABISA

Moderator Active Maxence Melo Naomba mumpige hata BAN ya mwezi mmoja huyu kwa nia yake ovu ya kupotosha Umma na kutaka kusababisha vurugu hapa.. au hamuoni !!!!
 
Zanziba ilitakiwa kuwe na wabunge 8 basi
Mimi kinachonikera wazanzibar ni kama wake wenza yaani kutwa kulalamika japo naumia kuipoteza Tanzania lakini wanakera sana hao watu

Hivi mnaakili kweli!! (sijakusudia kutusi ila imenibidi tuu niulize)

Zanzibar hata kabla ya Muungano ni nchi kamili na yenye Mamlaka yake yote..
Je mumewahi kusikia neno JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR !!?
 
Hakuna anaekerwa zaidi na muungano kama wazanzibari. Jitathamini upya, sie ni watu wenye utamaduni na utambulisho wetu ambao tunajivunia kuitwa wazanzibari. Leo tumevishwa vilemba vya kitanzania, wee acha mazee. Vunjeni tuu, go ahead we got nothing to loose here.
You have tons to lose!

Hauko mkweli.

Ukisema umepoteza identity yako ya Uzanzibari, na kwamba ina thamani kuliko chochote mnachopata Tanganyika ntakuelewa na nakubali, hapo mmepoteza. Lakini ukijifanya huoni namna Zanzibar inavyofaidika na upendeleo wa Muungano unakuwa unasema uongo!

Wazanzibar wanakula pesa ya Watanganyika bure bure, wamejaa nchini kwetu wanafanya biashara, wabunge 75 wa Zanzibar wanatu cost mabilioni na mabilioni, umeme tunawagawia bure, nafasi za masomo, za ubalozi, na mambo mengine kibaaao, Wazanzibari wanapeteshwa kupita maelezo.
 
Mimi kinachonikera wazanzibar ni kama wake wenza yaani kutwa kulalamika japo naumia kuipoteza Tanzania lakini wanakera sana hao watu

Hebu imagine, Mtanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar!

Hicho kitu kinanikondesha kupita maelezo na ninamlaani Nyerere kwa kila mvuto wa pumzi ya uhai wangu
 
Namaanisha ZITTO atakuwa KUB na hilo la serikali silitegemei hata kidogo kuja kutokea ZNZ.
Kiongozi naona kama umewapunguzia hadhi ACT wazalendo. Maana upepo unaonyesha kwamba ACT wazalendo ndio watakao unda serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ili watuonyeshe taifa na serikali ya Tanganyika iliyo jificha nyuma ya JMT.

Ama una maanisha watatoa KUB katika bunge la Tanganyika?
 
Wewe lina ukweli hili? Ulikuwa na pesa na umekosa mtu wa kukuuzia shàmba lake?
Hebu imagine, Mtanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar!

Hicho kitu kinanikondesha kupita maelezo na ninamlaani Nyerere kwa kila mvuto wa pumzi ya uhai wangu
 
Nimeshtushwa na idadi ya wabunge 75 kuwakilisha wakazi wasiofika million huko Zanzibar wakazi wanaozidiwa na mbunge mmoja tu Arusha,Temeke,Ubungo,Mbeya mjini, Kigoma mjini nk ikiwa ni sawa na uwakilishi wa mbunge kwa wakazi 106669 huku ni kuchezea pesa wa walipa kodi.

Kinachoumiza zaidi ni vyama vya siasa vimeweka viwango vya mabilion kufanya kampain eneo ambalo hata mguu au baiskeli unafika hapa naona kunavichwa haviko sawa kabisa hapa ilifaa kuwa na wabunge watano au watatu .

Kuna haja ZEC kuwa makini na uchezeaji wa pesa huu

USSR
Sasa kwanini ikawa muna ulinda mungano kwa mtutu wa bunduki

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Tanganyika tunaihitaji Zanzibar kuliko Zanzibar inavyoihitaji Tanganyika..

Hatuna jinsi inabidi tuwape wa Zanzibar nafasi ya kula cake ya taifa sana.. ili wasiupinge Muungano
.......
Duh... Wadanganyika wanahitaji znz kwa lipi?!

Labda ungesema ccm inahitaji sana koloni lake znz ningekuelewa kdg
 
Hakuna kitu kinanikera na kunichefua kama Muungano na Zanzibar.

Kama kuna kitu namlaani Nyerere mpaka kufa ni kutumezesha li-muungano na Zanzibar

Nyerere alituuza wazima wazima kwa kutaka sifa za kuwa unifying agent wa Waafrika...
Kama siyo hili li-muungano Tanganyika isingekuwa masikini hivi
 
Back
Top Bottom