Zanzibar 2020 Zanzibar ina wakazi laki 8, wabunge 75 wa nini?

Hiyo hasara kubwa ni ipi?
 
Znz ni kupe, wanyonyaji kwa Tanganyika.. period
 
Hebu imagine, Mtanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar!

Hicho kitu kinanikondesha kupita maelezo na ninamlaani Nyerere kwa kila mvuto wa pumzi ya uhai wangu
Yale maghorofa ya Kariakoo naskia asilimia kubwa ni ya Wapemba!
 
Si unapenda kufukiziwa udi na asumini, sisi si ndio munatuita wake zenu/
Hivi uliwahi kuhesabu matumizi ya mchepuko au mkeo?
sasa bahati mbaya mkeo mwenyewe tasa hazai, unahiari kumuacha au kuendelea kugharamia.
We si unapenda manukato na marashi ya karafuu,
sasa tulia BUZI la Tanganyika Uchunwe.
bwege wewe limbukeni wa mapenzi ,
eti muungano, muungano .Pana muungano hapa?
Wezi wakubwa nyie wa fadhila.
Mukija Zenji tutawalamba,
Tukija bara tutawalamba.
Si muna mapesa ya Dhahabu na Pamba,nyie?
Nyie ni watwana wetu tuu
 
Hivi mnaakili kweli!! (sijakusudia kutusi ila imenibidi tuu niulize)

Zanzibar hata kabla ya Muungano ni nchi kamili na yenye Mamlaka yake yote..
Je mumewahi kusikia neno JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR !!?
Mbona mnatawaliwa na Tanzania bara sasa?
 
Hivi tunafaidika nini na Zanzibar sisi kama Tanganyika?
 
Kumbe wakazi wa Zanzibar ni chini ya idadi ya wakazi wa tabata?basi hawa walihitaji mbunge mmoja tu au wawili mmoja pemba mwingine unguja basi
 
Laki 8 ni takwimu ya mwaka gani?
 
Kumbe wakazi wa Zanzibar ni chini ya idadi ya wakazi wa tabata?basi hawa walihitaji mbunge mmoja tu au wawili mmoja pemba mwingine unguja basi
Hata iwe na wakazi chini kuliko kariakoo, ila kihadhi, huwezi fananisha Zanzibar na Tanzania bara yote kwa ujumla.
 
Hadhi gani unaizungumzia mkuu?
Hadhi ya kuwa nchi..... Mumeikuta Zanzibar ikiwa na serikali yake na ikitambulikana kimataifa. Unapolalamika idadi ya wabunge Zanzibar, utambue kuwa Zanzibar ni nchi na sio kama eneo lolote Tanzania bara.

- Ina Rais wake
- Ina baraza la wakilishi
- Ina vikosi vya ulinzi vyake
- ina mahakama yake
- ina Bendera yake

Sasa achilia mikoa, Tanzania Bara ina nini?
 
Bara ina nini kuhusu nini?be specific unavyouliza maswali
 
Inabidi Znz mwaka huu wafanye Lao. ....siamini huu muungano una Amani ndani yake Kuna fukuto kubwa time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…