Zanzibar inachangia nini kwenye Serikali ya Muungano? Isije ikawa wanatumia Kodi za Bara


[emoji115] Soma hiyo, anzia kipengele namba 8.
 
Kitu simple tu! Hawana mchango/hawachangii, inashindikana nini kuwaacha waendelee na ustaarabu wao kwa kuwaachia huru. Lakini kwanini muungano unang'ang'aniwa?
 
Zanzibar wananufaila nini na muungano??
Muungano huu hauna faida kwa watanganyika. Unawafaidisha wazanzibari tu.

Anayebisha anyooshe mkono juu, au hata afanye kama anajikuna. Halafu alete faida moja tu ambayo mtanganyika anaipata.
 
Viwanda vya kwetu vinanufaika kwa sababu vinapata soko kubwa zaidi.
Mkuu tumeona miaka hii sukari ni shida na bei ya juu, lakini Znz wana sukari na bei ya chini.

Sheria hairuhusu wa Znz kutuuzia sisi sukari, ila sisi tunaruhusiwa kuwauzia wao.

Je unahisi nani anafaidika? Viwanda vya Znz ama vya huku kwetu?
 
Basi wabara acheni kulalamika
Iyo sio kwa zanzabar tu ni ngumu sana ktu kikiwa pamoja au kikiungana kutaka kujitenga si kaz ndogo ,mfano angalia tigray au catalunya na kwingneko
 
Ajabu Tanganyika hataki kumuachia Zanzibar!
 
Hatuna jeshi la majini(Navy)?
 
Zanzibar ni shit country ever, sijui huu muungano unafaidisha nini bara
 
Mbona kuna nchi nyingi ambazo ni visiwa zinapakana na nchi nyingine na wanaishi kwa amani tu.
Tanzania inai hold Zanzibar kwa sababu za kiusalama ila sio kwamba inafaidika kwa lolote! Hilo tu ndio hawa viongozi hawalisemi yani!
 
jiulize
unahisi kwa nini bara ndio wanautaka muungano kuliko wa zenji!!?
Unajuaje Wabara ndio wanautaka zaidi?

Ni lini wananchi wa Bara a waliulizwa wakasema wanautaka huu Muungano ?


Na ni lini Wazanzibar walisema hawautaki?
 
Ajabu Tanganyika hataki kumuachia Zanzibar!

Kuna tofauti ya wanufaika wachache na Tanganyika!

Wasiotaka kumwacha Zanzibar ni watanga nyikawanufaika wachache waliopo madarakani. Hao wakusikia kuwepo kura ya maoni, katu hawawezi kukubali.

Nakazia, mama sasa yuko madarakani kutokea Zanzibar na aruhusu kura ya maoni pande zote za Muungano.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Kwanini hamtaki kuwaachia wanaowanyonya?

Hatutaki? Tofautisha sisi na wachache wanufaika madarakani ambao hata kura ya maoni tu hawawezi kukubali iwepo.

Nakazia, mama sasa yuko madarakani kutokea Zanzibar na aruhusu kura ya maoni pande zote za Muungano.
 
Kasome vizuri hati ya muungano inaongea nini kabla ya kulalamika
 

alitaji kizimkazi ndio sehemu alipo zaliwa mama samiha
 
Nilianza kuwa na mashaka pale aliposema Serikali itanunua meli 8 za uvuvi 4 Tanganyika na 4 Zanzibar, hii hapana aisee, Serikali ya muungano yaan tulipe kodi sisi wao wachukue meli 4,Mama Samia nchi itakushinda
 
Ubuyu wa Zanzibar.
Wapemba wanao wake wengihasa wanawake toka bara.
Wanalipa umeme bei rahisi, sisi tunawalipia umeme ana maji.
wanamiliki nyumba na viwanja huku ila sisi haturuhusiwimkumiliki kule kwao.
kipindi cha mfungo wa ramasdhan nchi nzima hamna kula wala pombe ila sisi tukifunga kwaresma wao wapo klaabu zetu na mademu zetu
 
Muungano huu hauna faida kwa watanganyika. Unawafaidisha wazanzibari tu.

Anayebisha anyooshe mkono juu, au hata afanye kama anajikuna. Halafu alete faida moja tu ambayo mtanganyika anaipata.
Faida tunayoipata Tanganyika ni kuhodhi mamlaka na majukumu ya serikali ya muungano kwa hiyo lazima tutoe mchango mkubwa kwa sabab tanganyika ndio muungano wenyewe bila ya Tanganyika muungano hakuna.
 
Nyinyi ndio mtakao chinjana, kwakuwa mnamakabila zaidi ya mia, ukiwacha chuki zilizojengwa na wanasiasa kwa maslahi yao binafsi, wananchi wa Zanzibar ni wamoja. Na kabla ya muungano Zanzibar ilikuwepo.
 
Mbona makasiriko mengi, sukari, mchele na bidhaa nyingine zinatoka nje, sehemu ndogo tu ndio inatoka bara. Wabara wengi hamna elimu ya muungano, tofauti na wanzanzibar wengi. Hata mtoto wa primary wa Zanzibar anajua athari za muungano kwa Zanzibar.
 
Hawana elimu ya Muungano wala hawajui historia ya Zanzibar. Dharau na majivuno ndio walionayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…