Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama anatakiwa aongoze nchi kwa haki. Hizo hela zingerud zilikotoka. Kama kuna sehemu ilitokea Zanzibar basi irudi hivyo hivyo. Juzi kwenye Hotuba yake alisikika akisema kua Bandari inaweza ikajengwa popote, na akataja eneo mojawapo pia la Zanzibar sikumbuki wapi. Lakini tujiulize je hilo eneo liko kwenye bajeti au mafikirio ya kujenga Bandari?
Nyie watu wa Musoma ndio mmetuletea muungano halafu mnatuuliza sisi
Mbona mimi siupendi, kwanza dada zao wabaguzi kweli, wanataka kuolewa na ndugu zao tu.jiulize
unahisi kwa nini bara ndio wanautaka muungano kuliko wa zenji!!?
Solution hapo, Muungano uvunjwe. Wazanzibar wabaki na nchi yao, watakua huru wakijiendesha wenyewe, na sapoti kubwa watapata kutoka mataifa ya nje. Naamini kabsa zanzibar itakua haraka na wazanzibar watafurahia mema ya nchi.Kwa logic hii, Kuwait wasiuze mafuta, haiwezekani nchi ndogo kama wilaya ya Tanzania iuze mafuta bei itapanda sana kwao.
Hakuna kitu kama hichi mkuu, zamani Zanzibar ilikuwa center ya biashara, walikuwa na vitu vingi sana na nchi nyingi walienda kufungaShia mzigo kule, ila sisi tumewaminya kwa kuweka sheria zetu za kikoloni, wanachozalisha wao ni Chao wauziane ila tunachozalisha sisi tunaruhusiwa kuwauzia wao, hii Sera imewaacha Hoi taabani viwanda na biashara zao.
Juzi kati nilikua Zanzibar biashara na maduka yamechoka, unakuta tu vikavakava vya simu kama Agre
Acha upumbavu ww, kwamba Zanzibar kuna fujo au usalama wake mdogo? Ww unaongea ivyo but hao waliounganisha na wanaoshikilia muungano uwepo wanajua wanachofaidika,Tanzania inai hold Zanzibar kwa sababu za kiusalama ila sio kwamba inafaidika kwa lolote! Hilo tu ndio hawa viongozi hawalisemi yani!
huyu mama nchi itamshinda mapema kama ataendelea na huu ujinga aloanza nao
Kwel kabsa mkuu ujakosea thn watu wenyewe wabaguzi kinoma kwa sisi uku wa bara unapoenda Kule wakt wao uku wako free 2 wanadunda binafs na chukua sana huu muungano haina cha maana kbsaKumbuka sisi ni Tanganyika wala si Tanzania. Katika Tanzania, na Zanzibar wamo.
Sasa kama msaada waja kwanza Tanzania halafu tena sehemu yaenda Zanzibar, huoni kuwa Zanzibar wao wanapata mara mbili hali sisi hamna kabisa.
Kinachokwenda Tanganyika kipo wapi?
Au nasema uongo ndugu zangu?
Sawa mnufaika, atleast nachoelewa ni hicho hayo tu!Acha upumbavu ww, kwamba Zanzibar kuna fujo au usalama wake mdogo? Ww unaongea ivyo but hao waliounganisha na wanaoshikilia muungano uwepo wanajua wanachofaidika,
Kumbe kiasi muibiwe mabilioni ya hela na kinakingwala coz hamujijui mupomupo tu kama mazombi na mtaendelea kuibiwa na CCM mpaka dunia itaisha
You are very right.She has to take a rest tupate Rais mwingineWametoa Rais. Huyo mama wangemwambia apumuzike, she has no ideas. Kazi iendeleee- what a crap
Jina lina msaada gani kwenye uchumi wetu?Mkuu Zanzibar inachangia Jina maana hebu piga picha tu Tungeendelea kuitwa "Tanganyika" jina lenyewe linahuzunisha kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwahio mnataka mtu kama meko vile yaani muwe hampumui muongozwe kingunguvu tu, alaf muteswe kitaa kiwe kigumu, yaani muambiwe kauli zile zakidhalim eeee?Samia hatufai.
I'm done
Moderators. Sioni sababu ya kuufuta Uzi huu au kuulazimisha kuunga sehemu nyingine.haujakosea kitu.
Watu tunataka Elimu mchango ambao Zanzibar inatoa kwenye Serikali ya Muungano. Naona kama Tunaumia sana sisi wa Bara. Kuubeba Muungano.
Mfano nataka kuoa. Nimeandaa Harusi baadaye nikaamua kutofanya sherehe. Je zile pesa nagawa pia kwa bibi harusi? Ndicho ambacho alichofanya Samia. Yaani pesa hizi ambazo zimeandaliwa na Watanzania Bara kwa Sherehe isiyo na tija kaamua zigawanywe sawa kwa sawa.
Hili suala tuanze likemea mapema. Kodi za Wabara zitumike kwa Wabara. Na Wazanzibar zitumike kwao kwa maendeleo ya nchi yao.
Tabia ya kupendelea eneo moja analotoka Rais ikomeshwe isiendelee.tuliona miradi mingine ilivyokuwa ikipelekwa sehemu ambazo hiyo miradi haikuwa na tija.
Lakini suala langu kubwa ni kupeana Elimu kuwa kuna pesa gani ambazo Bara inapata toka Zanzibar? Au zinaingia kwenye Muungano toka Zanzibar?
But pia hizi pesa anazotaka zipelekwe Zanzibar pia. Zilitokea au patikana wapi? Kodi za Wabara zisitumike vibaya. Watu kwa sasa kwa woga au Unafiki wanashindwa kuhoji hili jambo.
Ila wajue mwanzo wa ngoma ni lelele.... Tusikubali mambo ya hovyo kuendelea. Na mchakato wa Katiba urudishwe ili haya mahusiano yawe yame balance. Zanzibar wasionewe hali kadhalika Bara pia wasionewe. Hawa wabara ndo hata Serikali yao hawana.
Mtikila kila alipowambia mulimuona kichaa, really miss him.Moderators. Sioni sababu ya kuufuta Uzi huu au kuulazimisha kuunga sehemu nyingine.haujakosea kitu.
Watu tunataka Elimu mchango ambao Zanzibar inatoa kwenye Serikali ya Muungano. Naona kama Tunaumia sana sisi wa Bara. Kuubeba Muungano.
Mfano nataka kuoa. Nimeandaa Harusi baadaye nikaamua kutofanya sherehe. Je zile pesa nagawa pia kwa bibi harusi? Ndicho ambacho alichofanya Samia. Yaani pesa hizi ambazo zimeandaliwa na Watanzania Bara kwa Sherehe isiyo na tija kaamua zigawanywe sawa kwa sawa.
Hili suala tuanze likemea mapema. Kodi za Wabara zitumike kwa Wabara. Na Wazanzibar zitumike kwao kwa maendeleo ya nchi yao.
Tabia ya kupendelea eneo moja analotoka Rais ikomeshwe isiendelee.tuliona miradi mingine ilivyokuwa ikipelekwa sehemu ambazo hiyo miradi haikuwa na tija.
Lakini suala langu kubwa ni kupeana Elimu kuwa kuna pesa gani ambazo Bara inapata toka Zanzibar? Au zinaingia kwenye Muungano toka Zanzibar?
But pia hizi pesa anazotaka zipelekwe Zanzibar pia. Zilitokea au patikana wapi? Kodi za Wabara zisitumike vibaya. Watu kwa sasa kwa woga au Unafiki wanashindwa kuhoji hili jambo.
Ila wajue mwanzo wa ngoma ni lelele.... Tusikubali mambo ya hovyo kuendelea. Na mchakato wa Katiba urudishwe ili haya mahusiano yawe yame balance. Zanzibar wasionewe hali kadhalika Bara pia wasionewe. Hawa wabara ndo hata Serikali yao hawana.
Acha kuleta habari zako leta documents hapaBOT msingi wake zanzibar ndio walitoa fedha nyingi za kigeni kuanzishwa kwake leo Tanganyika wanajifaragua na BOT wamesahau msingi wake, TRA inakusanya kodi kule zanzibar lakini zile kodi zinaenda kutumika kwa maendeleo ya Tanzania Bara, hizo fly over zote ni hela za karafuu