Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Inabidi watuambie maana kwa mimi mtanganyika sioni umuhimu kwakuwa mm nikitaka kuishi zanzbar siruhusiwi kununua eneo wakati yeye anaruhusiwa kununua eneo lolote huku bara why ?alaf cha ajabu sasa kila wakikaa kikao kuhusu changamoto za muungano wanajadil zile ambazo zinaonekana tatzo kwa Zanzibar inaonyesha upande wa bara kama vile wanalazimisha muungano labda kwa kuna sababu ambazo sisi wananch hatujui,na kusema et jina ndio mojawapo ya faida haina faida sana kwa sababu bila neno tanganyika kuwepo ata ile neno tanzania lisingekuwepo so labda tusingeungana lingebak tanganyika au lingetoa jina lingne na jina halina athari kiuchum au kimaendeleo