DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Mkuu Zanzibar inachangia Jina maana hebu piga picha tu Tungeendelea kuitwa "Tanganyika" jina lenyewe linahuzunisha kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Mkuu Zanzibar inachangia Jina maana hebu piga picha tu Tungeendelea kuitwa "Tanganyika" jina lenyewe linahuzunisha kabisa
BOT msingi wake zanzibar ndio walitoa fedha nyingi za kigeni kuanzishwa kwake leo Tanganyika wanajifaragua na BOT wamesahau msingi wake, TRA inakusanya kodi kule zanzibar lakini zile kodi zinaenda kutumika kwa maendeleo ya Tanzania Bara, hizo fly over zote ni hela za karafuuKwanza Zanzibar ni eneo tu lililopo tanganyika tatzo shombe shombe na waaraabu ndio wametuharibia hicho kisiwa chetu huko ni kama wilaya hapakua na haja ya kua nchi,
Hawana aridhi, kodi yao ndogo wanatunyonyaa, mifugo inavushwa kwenda visiwani, hawana nyama wala mashamba ya mchele , sukari tunawapelekea na akili hawana wa mwisho kila kitu ndio maana hata hawawezi
Fikili vizuri ni taMAA tuu wajawa na kujazwa ujinga na waarabu.
Wanakuja kwetu kuuza bidhaa, aridhi wanapata bure wanaoa binti zetu hatuwabagui ila wao ukioa na majini unatupiwa mpaka wakupende ndio salama yako hawajui maridhiano.
Nchi ya ni udini full kunyanyaswa hembu tuwaachie wajitawale kwanzaa sio wazanzibar ni kuna wapemba naa unguja .
Mie nawaonaga kama kichwa cha mwenda wazimu na haraakati zaoo za lofaa.
Wapite hivi.
Sio kweli Zanzibar haitambuliki duniani ndioaana haina kiti UN wala haipo FIFAZanzibar wanapoomba msaada kutoka nje ya nchi lazima msaada ule upite tanganyika kwanza uvhukuliwe nusu na robo thn znz ndio wanapata kilichobaki, TRA kukusanya mapato ikiwemo sector ya utalii znz
Sent from my SHARK MBU-H0 using JamiiForums mobile app
Nyinyi hata pesa ya mishahara mnategemea itoke baraBOT msingi wake zanzibar ndio walitoa fedha nyingi za kigeni kuanzishwa kwake leo Tanganyika wanajifaragua na BOT wamesahau msingi wake, TRA inakusanya kodi kule zanzibar lakini zile kodi zinaenda kutumia kwa maendeleo ya Tanzania Bara, hizo fly over zote ni hela za karafuu
Zanzibar ndio inalipa mishahara ya watanganyika kupitia kodi za TRA waliotapakaza ofisi kule Zanzibar. Zanzibar hainufaiki na kodi za TRA hela yote inakuja huko kwenu unyamwezini, ki ufupi bila Zanzibar hakuna TanganyikaNyinyi hata pesa ya mishahara mnategemea itoke bara
Mkuu sasa naona uko tayari "kushika nyati sehemu za Siri"Moderators. Sioni sababu ya kuufuta Uzi huu au kuulazimisha kuunga sehemu nyingine.haujakosea kitu.
Watu tunataka Elimu mchango ambao Zanzibar inatoa kwenye Serikali ya Muungano. Naona kama Tunaumia sana sisi wa Bara. Kuubeba Muungano.
Mfano nataka kuoa. Nimeandaa Harusi baadaye nikaamua kutofanya sherehe. Je zile pesa nagawa pia kwa bibi harusi? Ndicho ambacho alichofanya Samia. Yaani pesa hizi ambazo zimeandaliwa na Watanzania Bara kwa Sherehe isiyo na tija kaamua zigawanywe sawa kwa sawa.
Hili suala tuanze likemea mapema. Kodi za Wabara zitumike kwa Wabara. Na Wazanzibar zitumike kwao kwa maendeleo ya nchi yao.
Tabia ya kupendelea eneo moja analotoka Rais ikomeshwe isiendelee.tuliona miradi mingine ilivyokuwa ikipelekwa sehemu ambazo hiyo miradi haikuwa na tija.
Lakini suala langu kubwa ni kupeana Elimu kuwa kuna pesa gani ambazo Bara inapata toka Zanzibar? Au zinaingia kwenye Muungano toka Zanzibar?
But pia hizi pesa anazotaka zipelekwe Zanzibar pia. Zilitokea au patikana wapi? Kodi za Wabara zisitumike vibaya. Watu kwa sasa kwa woga au Unafiki wanashindwa kuhoji hili jambo.
Ila wajue mwanzo wa ngoma ni lelele.... Tusikubali mambo ya hovyo kuendelea. Na mchakato wa Katiba urudishwe ili haya mahusiano yawe yame balance. Zanzibar wasionewe hali kadhalika Bara pia wasionewe. Hawa wabara ndo hata Serikali yao hawana.
Nyinyi hata mchanga wa kujengea mnataka utoke bara halafu unakuja kupiga keleleZanzibar ndio inalipa mishahara ya watanganyika kupitia kodi za TRA waliotapakaza ofisi kule Zanzibar. Zanzibar hainufaiki na kodi za TRA hela yote inakuja huko kwenu unyamwezini, ki ufupi bila Zanzibar hakuna Tanganyika
Mchanga wa kujengea upi huo?Nyinyi hata mchanga wa kujengea mnataka utoke bara halafu unakuja kupiga kelele
Kujengea nyumba
Hahahahahah kwahio Zanzibar mchango wake ni jina tu! Wonders shall never end ila poa tu waiche Zenji ije itekwe ili akina Alshababu wapitie zenji kuja kuwaua bara na kupora mali! Nafikiri hilo litapendeza sana maana kinachotokea Kinshasa na Brazavile huku hamna ufahamu nacho!Mkuu Zanzibar inachangia Jina maana hebu piga picha tu Tungeendelea kuitwa "Tanganyika" jina lenyewe linahuzunisha kabisa
Bara tupo millioni 55,Zenj wapo millioni tano tu,bara kwa wingi wa watu ni soko kubwa,ukiruhusu sukari ya Zenj,ije bara,bei itakuwa kubwa sana Zenj,wananchi watapata tabu sana,Mkuu tumeona miaka hii sukari ni shida na bei ya juu, lakini Znz wana sukari na bei ya chini.
Sheria hairuhusu wa Znz kutuuzia sisi sukari, ila sisi tunaruhusiwa kuwauzia wao.
Je unahisi nani anafaidika? Viwanda vya Znz ama vya huku kwetu?
Mawazo hayo ndio yale akina lukuvi, uwongouwongo ilimradi maisha yaendeHahahahahah kwahio Zanzibar mchango wake ni jina tu! Wonders shall never end ila poa tu waiche Zenji ije itekwe ili akina Alshababu wapitie zenji kuja kuwaua bara na kupora mali! Nafikiri hilo litapendeza sana maana kinachotokea Kinshasa na Brazavile huku hamna ufahamu nacho!
Hapa ni Katiba Mpya ya Serikali tatu. Tanganyika, Zanzibar na ya Tanzania vinginevyo kila upande unasema unanyonywa na upande wa pili.Mawazo hayo ndio yale akina lukuvi, uwongouwongo ilimradi maisha yaende
Sent from my SHARK MBU-H0 using JamiiForums mobile app
Sasa kama wewe unasema kuwa muungano hauna faida kwa watanganyika hebu twambie ni kwa nini basi watanganyika ndio walio mbele zaidi kukataa kuuvunja huu muungano? Wazanzibari wamekuwa wakipiga kelele kila siku wanataka nchi yao kwa nini hamuwapi? Kama kweli zanzibar inaitia hasara tanganyika na inawazuia kupata maendeleo ya haraka ni kwa nini viongozi wenu wote wa ngazi zote bado wanasisitiza muungano uenzwe? Ukiwa na mke na akafanyii lolote jema na kila siku kukicha anadai talaka yake, hivi utabaki nae au utampa talaka na akafie mbeleni? Sasa kwa nini wadangabyika hamfanyi hivyo? Na toa onyo kabisa hapa msije na kasumba eti kuwa sisi ni ndugu, au tumechangaya udugu! hiyo ni BS tu. Wazanzibari wamechanganya damu na wakenya zaidi kuliko watanganyika!Muungano huu hauna faida kwa watanganyika. Unawafaidisha wazanzibari tu.
Anayebisha anyooshe mkono juu, au hata afanye kama anajikuna. Halafu alete faida moja tu ambayo mtanganyika anaipata.
Yule alikua akitembeza kichapo na alikua roho mbaya sana, huyu ata akijenga but anaongoza kwa busara sanaYule walisema chato.uyu mzanzibari nae kaanza kujivutia kwao
Tanzania inai hold Zanzibar kwa sababu za kiusalama ila sio kwamba inafaidika kwa lolote! Hilo tu ndio hawa viongozi hawalisemi yani!Mawazo hayo ndio yale akina lukuvi, uwongouwongo ilimradi maisha yaende
Sent from my SHARK MBU-H0 using JamiiForums mobile app
Kwa logic hii, Kuwait wasiuze mafuta, haiwezekani nchi ndogo kama wilaya ya Tanzania iuze mafuta bei itapanda sana kwao.Bara tupo millioni 55,Zenj wapo millioni tano tu,bara kwa wingi wa watu ni soko kubwa,ukiruhusu sukari ya Zenj,ije bara,bei itakuwa kubwa sana Zenj,wananchi watapata tabu sana,
Muungano huu hauna faida kwa watanganyika. Unawafaidisha wazanzibari tu.
Anayebisha anyooshe mkono juu, au hata afanye kama anajikuna. Halafu alete faida moja tu ambayo mtanganyika anaipata.