Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Na kule Zanziberi mteue 50/50 watanganyika tuwemo serikali ya mapinduziTukumbushane toka kuungana 1964 Kati ya Tanganyika na Zanzibar. Sehemu moja ilikua inavaa koti la Muungano kwa kudhulumu upande mwingine. 50-50 formula izingatiwe kuanzia Uteuzi (Mawaziri, N/Waziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi, Wakuu wa Taasisi, Mabalozi pia hata Misaada toka nje, pasu-kwa-pasu)
Zanzibar for lifeKasome katiba hatujaungana kila kitu
Ardhi mfano sio jambo la muungano lakini wazanzibar mumejaaa kibao Tanzania bara mnamiliki mashamba na majumba subiri Taanganyika mtuamshe tukiamka tutawakimbiza mchana kweupe mrudi kwenu.
Wana 100% ya bara wametoa president Madam.Zanzibar ni nchi, na hakuna nchi ndogo wala kubwa kwenye muungano au vipi? 😁😁
Kwenye Muungano mnacontribute nini.Tukumbushane toka kuungana 1964 Kati ya Tanganyika na Zanzibar. Sehemu moja ilikua inavaa koti la Muungano kwa kudhulumu upande mwingine.
50-50 formula izingatiwe kuanzia Uteuzi (Mawaziri, N/Waziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi, Wakuu wa Taasisi, Mabalozi pia hata Misaada toka nje, pasu-kwa-pasu)
Tukumbushane toka kuungana 1964 Kati ya Tanganyika na Zanzibar. Sehemu moja ilikua inavaa koti la Muungano kwa kudhulumu upande mwingine.
50-50 formula izingatiwe kuanzia Uteuzi (Mawaziri, N/Waziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi, Wakuu wa Taasisi, Mabalozi pia hata Misaada toka nje, pasu-kwa-pasu)
Zanzibar ni nchi, na hakuna nchi ndogo wala kubwa kwenye muungano au vipi? 😁😁
Mheshimiwa Spika aliangalie na hili pia
Na kule Zanziberi mteue 50/50 watanganyika tuwemo serikali ya mapinduzi
Kwenye Muungano mnacontribute nini.
Nyie leteni fyokofyoko.
Tutaifanya unguja na Pemba mikoa na nyodo zenu zitakuwa zimeisha
Wana 100% ya bara wametoa president Madam.
Watulie
Mbona madeni hujayaweka?Tukumbushane toka kuungana 1964 Kati ya Tanganyika na Zanzibar. Sehemu moja ilikua inavaa koti la Muungano kwa kudhulumu upande mwingine.
50-50 formula izingatiwe kuanzia Uteuzi (Mawaziri, N/Waziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi, Wakuu wa Taasisi, Mabalozi pia hata Misaada toka nje, pasu-kwa-pasu)
Siku hizi mnawashwa sana, inawezekana wapi watu 2 mgawane sawa na watu mia moja, acheni kujishaua tutawarudisha makwenu halafu mkose vyote, kazi kulala usingizi hadi saa tano asubuhi halafu mnataka 50/50 sasa kuwachekea kwenu ni sawa na kumchekea mbwa atakufuata hadi msikitini. Siku hizi tunajua jeuri ya kubweka mnaipata wapi. hata ukipewa hizo 50 kama wewe ni lofa utakuwa lofa tu . acheni visingizio fanyeni kazi hizo talantila zenu azitakusaidia wewe bali miaka yote wapo wanaofaidi.Chunga mzigo wako la sivyo utabaki kuwa mpiga porojo kwenye mitandao na siku zinasonga mbele. Kumbuka Wapemba wenzako wamejazana huku bara.Tukumbushane toka kuungana 1964 Kati ya Tanganyika na Zanzibar. Sehemu moja ilikua inavaa koti la Muungano kwa kudhulumu upande mwingine.
50-50 formula izingatiwe kuanzia Uteuzi (Mawaziri, N/Waziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi, Wakuu wa Taasisi, Mabalozi pia hata Misaada toka nje, pasu-kwa-pasu)
Au bora hata angewaacha tu waendelee kuwa Watumwa wa yule Sultan wao. Hawa watu ni zaidi ya mizigo.Mimi naaamini Nyerere alikosea sana kuwaunganisha wazenji na watanganyika kaipa Tanganyika mzigo mzito.hii nchi ingejitenga wafanye yao kwa maendeleo ya watu wao