mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Ajabu Zanzibar haina mwenyewe hao wote wanaopiga kelele ni wahamiaji, wengine walihamia kama watumwa,wengine kama washihiri na wengine kama wavuvi, narudia tena wote ni wahamiaji pale Zanzibar kuna watu wana asili ya Malawi, Tanganyika, Congo, Comoro,China,Oman,India etc. Ila kwa sasa mazingira yamebadirika ilitakiwa waachiwe kijiji chao.Mimi naaamini Nyerere alikosea sana kuwaunganisha wazenji na watanganyika kaipa Tanganyika mzigo mzito.hii nchi ingejitenga wafanye yao kwa maendeleo ya watu wao