Zanzibar inastahili 50% ya Muungano

Huyo Sultan koko si mlimpundua kwa msaada wa 100% kutoka Bara na yule Mganda John Okello! Mngekuwa peke yenu, mngeweza? Na wakati muda wote mnashinda tu vijiweni kula urojo. Halafu eti mnataka usawa!!
 
Usijidanganye hapa, wabara hamjasaidia mapinduzi ya zanzibar. Naona wabara mnawashwa sana na namna wazanzibari wanavyo enjoy vyakula vyao. kila kukicha mnaimba urojo urojo, kwa nini hamji zanzibar tukakulisheni badala ya kukaa huko kila siku kula sembe na maharagwe, chakula cha wafungwa?
 
Nayakumbuka maneno ya mwalimu eti ' mbona tunachoma nyumba za wapemba lakini za wachaga hatuchomi'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…